JK apingwa kortini kugombea urais 2010

Unasema hamna kesi wakati kesi imekwisha kuwa filed una maana gani? Si usubiri kwanza mentioning and hearing ndipo uweze kubashiri hukumu yake!!

Ku file case si hoja, hata wewe unaweza ku file kitu chochote chenye the slightest plausibility. Tatizo linakuja baada ya ku file nini kitafuata?

Unaelewa concept ya "frivolous lawsuit" unaelewa mtu akisema kesi haina "legal merit".Unaelewa katika systems ambazo zina "pre-trial hearings" kinachofanyika kabala ya kesi ni nini kabla ya mtuhumiwa kuwa "acquited" or "convicted" ?

Kuna cases nyingine jaji anaweza kuisikiliza siku moja tu na kuwaambieni hapa hamna ushahidi wa kupoteza muda wa mahakama kuingia katika a lengthy process, case dismissed.

Hii ni case ambayo unatakiwa uonyeshe beyond doubt kwamba rais ka violate vifungu fulani, halafu kwa jinsi walivyoileta wanatakiwa wa prove beyond doubt kwamba rais anatumia vibaya pesa za umma. Rais anaweza kusema msaada mmoja tu tuliopata kutoka nje unaweza ku cover safari za muhula au mwaka mzima, utamwambiaje kwamba anafuja mali ya umma ?

Hata kama unataka kumuondoa Kikwete kwa mambo ya kikatiba, kitu kigumu sana, kumuondoa kwa matumizi ya fedha ni kugumu zaidi. Kwa sababu nilizozitoa hapo juu, evidence ni vigumu kupata, bajeti ya Ikulu inapitishwa kwa carte blanche na hivyo huwezi kusema kuna matumizi yasiyoidhinishwa (ambayo labda ingeweza kubeba merit, kwamba rais kaidhinishiwa bilioni kumi lakini yeye katumia 15, hatuna hili) na majaji wote pamoja na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wote ni appointees wake, sasa kesi itapitaje hapo ?
 
Back
Top Bottom