jk apigwa kijembe na mwandishi wa kizungu

Asipojirekebisha ataendelea kutukanwa,yawezekana nao wamechoka kuombwa misaada ile hali nchi inaweza kujitegemea.
 
Huyu mwandishi mbona tunamjua, ni Sarah Hermitage yule yule wa Silverdale farm. Baada ya kushindwa ile bifu yake na akina Mengi kaenda kulia kwa rais na huko pia kumekuwa pagumu. Hiyo article is nothing new and certainly old news. Wote tunafahamu kuna tatizo la rushwa ila ni vyema tukaangalia pia the glass half full rather than empty kila wakati.

Mama Hermitage pole sana na yaliyokukuta ila kampeni yako unaiendesha ndivyo sivyo. Swali moja, je nyie "wawekezaji" au "nchi wahisani" hamtoi rushwa? Je are you really that naive kiasi cha kwamba haujui kuwa external assistance is offered on a quid pro quo basis?
 
wazungu ni wapuuzi sana,wanatudhihaki kwa kutembeza bakuli
 
wazungu ni wapuuzi sana,wanatudhihaki kwa kutembeza bakuli

Huyu mama kwanini asiongee na serikali yake aone kama anaweza kuinfluence sera ya nchi kwa sababu ya kesi ya mtu mmoja (tena an isolated case for that matter)? Kwa kumbukumbu zangu za suala lake, walishalifikisha mpaka kwa balozi wa Uingereza Tanzania miaka ya nyuma and yet nothing has been done cha kumnufaisha yeye. Kampeni yake dhidi ya taifa letu inaanza kuvuka mipaka sasa, anajitia anatetea utawala wa haki na sheria nchini kwetu yet hatumsikii akizungumzia unyang'anyi wa ardhi ya wenyeji kwa ajili ya hao "wawekezaji".

Katika tovuti yake ya INVESTING IN TANZANIA THE 'SILVERDALE FARM' CASE anazungumzia an exchange baina yake na Mh. Zitto Kabwe, ambapo Zitto anamchana laivu kwa mbinu na hila zake hizi hizi zisizokuwa na mashiko kwa Tanzania.
 
waandishi wa namna hii ni wengi,yaani ukiona tanzania inatajwa kwenye nyanja ya kimataifa basi ujue kuna mtafaruku na mgongano wa kimaslahi.
 
Back
Top Bottom