JK apigiwa magoti na Foreign Minister wa Malawi!!

My wife is from Malawi and I'm glad they keep african tradition alive...

GOD BLESS AFRICA, GOD BLESS MALAWI
 
Hata Songea ni ivo ivo.

Ila Mh Rais alitakiwa asiweke nne,,kuonyesha ame-appreciate salamu yake.
 
mnh unaweza msalimia mtu akajisikia umemheshimu bila kumuendea chini,huku ni kusujudu anatakiwa mungu pekee ndio asujudiwe....mnh kupiga magoti kabisaaaa??????kwa kweli there is something soooo fake about it!!!
 
Hilo ni jambo la kawaida sana hata kama huyo mwanamke angekuwa na PhD bado anatakiwa kubonyea au kuipiga magoti kama alivyofanya anapomwamkia mwanaume. Haya ni makabila yote yaliyoko nyanda za juu kusini na nchi jirani ikiwemo Malawi.
 
Huku malawi hiyo kawaida tu watu wa huku wananidhamu ya owoga kwale huku hata mfanyakazi hawezi kuongea na boss wake akiwa amesimama hata boss wake awe mdogo ndo walivyo watu wa huku!

Angekuwa haja soma huyu mama na kupata exposure ya haki za wana wake hapo angelamba mpaka viatu vya PhD.
 
:frusty::frusty::smash::smash:Unacceptable, shame, kneeling is not sign of displine or obedience, this is slavery with the world we have now.:A S 114::A S 114::ranger::ranger: let me drive away:car:
 
huu ni utumwa wa kiafrica SIONI sababu yoyoteya mwanamke WA KIAFRICA kumpigia mtu yoyote magoti. NASEMA HUU NI UTUMWA NA IBABIDI UKEMEWE

Mkuu tuko pamoja hapa. JK hajaonyesha kuwa yeye ni muungwana. Kwa muungwana mtu akikupigia magoti inabidi umsii asimame au aketi chini. Kitendo cha JK kuendelea kukenua meno huku akiwa ameandika nne, si cha kiungwana hata kidogo!!!

Tiba
 
Huyu ni Mwanamke mwafrika anaejua maadili ya asili yake. Pomgezi mama kwa kusimamisha mila na destruri zenu. Hii mila ipo hata kule kanda za ziwa.
 
Afu linacheka huwa linanikera likianza kuchekacheka wakati na lenyewe likifika huko kwa kina 0bama ndo linalala hadi chini.
 
heee weee,,,, shauri yako we uachie tuu mudomo wako,,,bado sie twkutaka jf....hebu jizuie kidogo my boy heee...
Afu linacheka huwa linanikera likianza kuchekacheka wakati na lenyewe likifika huko kwa kina 0bama ndo linalala hadi chini.
 
Dada yangu ana HOUSEBOY wa ki-Malawi,akiongea na Bosi wake au wageni,lazima apige magoti... Sipendi anipigie magoti...
 
huu ni utumwa wa kiafrica SIONI sababu yoyoteya mwanamke WA KIAFRICA kumpigia mtu yoyote magoti. NASEMA HUU NI UTUMWA NA IBABIDI UKEMEWE

izo ni fikra zako za kipuuzi,kupiga magoti ni mojawapo ya tamaduni zetu,we mtu wa wap?
 
hadi wanaume? au ni wanwake tu?

Hata wanaume wanafanya hivyo tena wazee kabisaa unakuta umempa mtu kazi ya ulinzi hawezi kuongea na wewe akiwa amesimama yaani ndo walivyo kunasiku tulitembelea kwenye nyumba ya chifu wa huku baada ya kutukaribisha tulipewa viti tulikaa kwa muda mama mwenye nyumba akaja na kukaa chini akituomba ageuze nguo alizoanika watu tulibaki tunashangaa kwanini kaja kuomba ageuze nguo watu wakatuambia huku ndo mila zao mtu hawezi kugeuza nguo kama watu wamekaa sehemu hiyo!
 
hiko ni kitu cha kawaida kabisa hasa kwa Wanawake wa kiafrika kusalimia kwa kuinama,kupiga magoti,kuchuchumaa n.k. Hata wanawake wa kanda ya ziwa hufanya hivo kwa watu waliowazidi umri.
 
Back
Top Bottom