Elections 2010 JK apewe na Slaa uwaziri gani?

Paddy

JF-Expert Member
Sep 22, 2010
459
303
Mi napendekeza apewe michezo na utamaduni!! Sidhani kama wadau mtapenda asimamie fedha! au mnaonaje wadau? kama vp tusimpe kitu labda Dovutwa!!
 
Mi napendekeza apewe michezo na utamaduni!! Sidhani kama wadau mtapenda asimamie fedha! au mnaonaje wadau? kama vp tusimpe kitu labda Dovutwa!!
Hafai kuwa hata uwaziri wa jikoni maana ataiba na mboga.
 
JK needs to rest, his health is a big problem na kama akilazimisha sana, atadhurika
 
mkuu hapo umeniacha hoi!!!! bt tumfikirie kidogo, vp tukimpa kazi ya kuwa msemaji mkuu wa ikulu??
 
apewe kazi ya u PR pale kurugenzi ya habari! Kiukweli JK kwenye PR ni mzuri sana!
 
kuna vacancy pale TFF ya msemaji, tuache fitna wadau tumpe tu!!!!!
 
Hahaaahaha!
Uwaziri wa wanawake na maendeleo ya kina mama! Hapa I think atawajibika sana!:A S 39:
 
Mi napendekeza apewe michezo na utamaduni!! Sidhani kama wadau mtapenda asimamie fedha! au mnaonaje wadau? kama vp tusimpe kitu labda Dovutwa!!

Apewe boat ya kisasa akavue samaki.
 
JK awe model, kina hassanali wanatafuta wanamitindo kama hao. Wizara ya wanawake hatalielewa jukumu lake halisi!!!
 
Kwa sababu kkazoea usanii, kwa serikali serious kama ya Dr. Slaa hawezi kufanya chochote! atafungwa bure.
katika serikali ya Dr. Slaa JK hawezi kuwa kiongozi katika nafasi yoyote sijui labda kama anaweza kujibadilisha lakini kwa huyu NO nO No
 
Awe in charge of Kamati ya Miss Tz, Utalii, MNet face of Africa & kusaka misaada from western countries ili tuwaondoe omba omba mitaani
 
Im sorry JK, wadau wanakubania sana, sasa mda umefika wa kutafuta suluhu ya mezani na Dr wa ukweli maana hatakuacha hivi hivi!
 
jamani naomba mtu ambaye yuko serious atuambie kikibwa ambacho jk amefanya maana hata UDOM waliiba sera ya chadema ya tangu 1992!
 
Mi napendekeza apewe michezo na utamaduni!! Sidhani kama wadau mtapenda asimamie fedha! au mnaonaje wadau? kama vp tusimpe kitu labda Dovutwa!!

Naona wewe ni Chadema na umeisha kata tamaa, pole mkuu
 
Nafasi za mawaziri zimeshajaa, wala hana uwezo wa kuwa waziri. Nafikiri nafasi itakayomfaa zaidi ni Balozi wa Kijiji nchini Chalinze kuiwakilisha chichiem.
 
Back
Top Bottom