JK apaa kwenda Paris leo...

Pengine ni kwa ajili ya matibabu,angejipumzikia zake tu kulinusuru Taifa gharama na mambo mengine.
 
Anakwenda kudroo pesa zake na kuhifadhi cash kwa sababu nguvu ya umma ikidai aachie ngazi mataifa tajiri mara moja yanafunga akaunti za mhusika nje. Kama ilivyotokea kwa gaddafi. Akaunti zake na wanawe nje ya Libya tayari zimeshapigwa kofuli hata kabla hajaondoka madarakani
 
Jamani JITIHADA za mwanadam hazizidi KUDRA za mwenyezi Mungu, Kikwete. Alinifurahisha sana na hii kauli yake!

Rais aliyetulia kusubiri kudra za mwenyezi Mungu ziwaondolee watu wake umasikini, hovyooo!
 
mkuu hayo matusi bwana hata kama anakosea walau tumheshimu kuwa ni baba yake riz 1

sasa kama baba yake riz1?,dah,yani wewe ndo hamnazo kabisa,unlec awe ni ndugu yako,utamuheshm m2 asojiesh?wala kuwaheshm anaowaongoza,acha upopompo
 
5th EITI Global conference Paris 2-3 March 2011 : Extractive industries transparency initiative Speakers | Extractive Industries Transparency Initiative

Thursday 3 March
PLENARY 3: THE FUTURE OF THE EITI AND REVENUE TRANSPARENCY
Chair: Clare Short, Chair-candidate, Extractive Industries Transparency Initiative

HE Jakaya Kikwete, President of Tanzania

HE Armando Guebuza, President of the Republic of Mozambique

HE Hussain al-Shahristani, Deputy Prime Minister, Iraq

Robert Hormats, Under Secretary of State for Economic, Energy and Agricultural Affairs, United States

Nobuo Tanaka, Executive Director, International Energy Agency

Sri Mulyani Indrawati, Managing Director, World Bank

George Soros, Chairman, Open Society Foundations

Keith Skeoch, Chief Executive Officer, Standard Life Investments

safi mkulu...ujumbe umfikie member mmoja ...aliyeingia juzi anaitwa SALIMIA[salama ].......alikuwa anabeza intergrity ya forum....ujumbe ni kuwa kwa wenye akili fupi hawawezi kuelewa kitu hapa......na asilimia kubwa ya mambo yanayopostiwa hapa ni ya kweli....
Tunayo picha ya baba yako[salimia] akibadilishwa nanihii Marekani..tumemstahi tu.....na kila anachokifanya watu wana PM hapa..vingine tunastahi tu.[haviandikiki]....kwani tunajuwa hata tukiwaambia matomaso mtataka ushahidi kama wa kufumania..kwa ufupi huyu jamaa amezungukwa na wauza gahawa na wauza sura tu....kila kitu kinavuja!!!
 
5th EITI Global conference Paris 2-3 March 2011 : Extractive industries transparency initiative Speakers | Extractive Industries Transparency Initiative

Thursday 3 March
PLENARY 3: THE FUTURE OF THE EITI AND REVENUE TRANSPARENCY
Chair: Clare Short, Chair-candidate, Extractive Industries Transparency Initiative

HE Jakaya Kikwete, President of Tanzania

HE Armando Guebuza, President of the Republic of Mozambique

HE Hussain al-Shahristani, Deputy Prime Minister, Iraq

Robert Hormats, Under Secretary of State for Economic, Energy and Agricultural Affairs, United States

Nobuo Tanaka, Executive Director, International Energy Agency

Sri Mulyani Indrawati, Managing Director, World Bank

George Soros, Chairman, Open Society Foundations

Keith Skeoch, Chief Executive Officer, Standard Life Investments

Hebu angalieni hapa. Katika huu mkutano, Maraisi ni wawili wanatoka Afric, sasa angalia wanaowakilisha nchi zingine, ni magwiji ya taaluma hio. Huu kama unavyoona sio mkutano wa kisiasa, angalia calibre ya watu, sasa unafikiri ni nini mchango wa JK katika hili kongamano, mbona asingemtuma wataalamu wetu kule TPDC au basi hata pale Wizara ya Nishati/Madini? Maskini nchi yangu inadidimia tu kila siku!
 
Natamani Mh. Dr. Slaa achukue nchi ili awe rais wa kwanza kutosafiri nje ya nchi, awe rais asiyeomba msaada nje ya nchi, asiyekopa, hakutakuwa na rushwa, mahosipitali yote yatajaa dawa na vifaa, shule zitakuwa na madawati bila kuchangisha wafanyabiashara na wananchi, hakutakuwa na wakwepa kodi, machinga hawatalipa kodi na watafanyia umachinga popote wanapotaka hata kama ni katikati ya barabara na airport, kariakoo igeuke taipei, mfumuko wa bei soko la dunia hautaikumba nchi yetu nzuri, madini tutachimba wenyewe bila kutegemea nchi au makampuni ya kilaghai, vijana tutakua huru kuandamana kufurahia au kulaani jambo bila kuhitaji polisi. Polisi na majeshi yatakuwa katika hali nzuri, mabomuu hayatalipuka hata kwa bahati mbaya/ajali, umeme utawafikia watu wote ndani ya miaka mitano nk.

Umeathirika kiakili wewe, familia yake mwenyewe immemshinda ataweza hii nchi kweli, na wasiwasi ww mchicha mwiba
 
Anaenda kumwakilisha waziri wa michezo kwenye mkutano wa mawaziri katika kukuza michezo. afu amewaambia wasaidiz wake wasimpe taarifa zozote za bongo!

kumbe uhuru wa mawazo nao ukiwa kwa stl hii unakuwa ni ujinga mtupu.Acha uvivu wa kufikiri
 
Umeathirika kiakili wewe, familia yake mwenyewe immemshinda ataweza hii nchi kweli, na wasiwasi ww mchicha mwiba

Acheni utoto, ivi wewe umeweza mangapi yanayokuhusu? uhuru wa kutoa mawazo siyo maana yake kuwa uwe kama mjinga mjinga kwa kutumia muda mwingi kufanya ushabiki. Acha utoto na badirika
 
Kama mlimuangalia vizuri wakati anahutubia, jamaa alikuwa kachoka mbayaaaaa!!!!
 
Kwa kweli jana alitia huruma sana. Yaani nilifikiri ni Padre yuko church. Hoja zake zote zilikosa mashiko. Hapo ni jamaa wameandamana sehemu mbili tu. Je tukianza tale rasmi kabisa kama ya...... itakuwaje?
 
Natamani Mh. Dr. Slaa achukue nchi ili awe rais wa kwanza kutosafiri nje ya nchi, awe rais asiyeomba msaada nje ya nchi, asiyekopa, hakutakuwa na rushwa, mahosipitali yote yatajaa dawa na vifaa, shule zitakuwa na madawati bila kuchangisha wafanyabiashara na wananchi, hakutakuwa na wakwepa kodi, machinga hawatalipa kodi na watafanyia umachinga popote wanapotaka hata kama ni katikati ya barabara na airport, kariakoo igeuke taipei, mfumuko wa bei soko la dunia hautaikumba nchi yetu nzuri, madini tutachimba wenyewe bila kutegemea nchi au makampuni ya kilaghai, vijana tutakua huru kuandamana kufurahia au kulaani jambo bila kuhitaji polisi. Polisi na majeshi yatakuwa katika hali nzuri, mabomuu hayatalipuka hata kwa bahati mbaya/ajali, umeme utawafikia watu wote ndani ya miaka mitano nk.
cha Arusha hici bila shaka au cha meru
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom