JK aongoza kikao cha Kamati kuu ya NEC CCM leo. Ubunge Igunga kujadiliwa

nimesoma udaku kuwa hata Diamond mchumba wa Wema sepetu eti kaitwa Ikulu naye, sijui kweli, kama ni kweli jamaa anashusha hadhi ya jengo hilo tukufu
Hapo inaelekea hata vikao vya Freemanson vinafanyika pia kwani si tulisikia Diamond ni Freemanson na inawezekana ndo sababu ya kuitwa Magogoni coz ni Mwanachama
 
hawa jamaa ukiwaangalia hawana "THINK TANKS" kwenye CC yao wote ni vilaza tu hawana jipya
 
Kama umesoma vizuri comment yangu sijaspecify chama chochote. Ndio maana nikasema kuna haja ya kutafuta njia nzuri ya kupata spika ambaye hayupo ndani ujumbe wa chama chake.

Sawa mkuu, nimekupata. Ufumbuzi ni katiba mpya...
 
unamaanisha Rais wa chadema atakuwa hasafiri kabisa?

Safari zake nyingi zitakuwa za SENGELEMA,NZEGA,KAHAMA,IRAMBA,KONDOA,MULEBA,BUNDA,SIMANJIRO,MONDULI,MKURANGA,MASASI,LIWALE,MBINGA,BARIADI,BUKOMBE,ULANGA,KYERA,NJOMBE,MAFINGA na maeneo mengine ya umu nchini si unaona ametoka ULANGA leo yupo IGUNGA.
 
Safari zake nyingi zitakuwa za SENGELEMA,NZEGA,KAHAMA,IRAMBA,KONDOA,MULEBA,BUNDA,SIMANJIRO,MONDULI,MKURANGA,MASASI,LIWALE,MBINGA,BARIADI,BUKOMBE,ULANGA,KYERA,NJOMBE,MAFINGA na maeneo mengine ya umu nchini si unaona ametoka ULANGA leo yupo IGUNGA.

hahahahah umeniacha hoi mkuu
 
Wakuu,
Mie na mashaka kama mnimkulu (Afisa Mkuu wa Itifaki) huwa anaipeleke CCM hati ya madai (bill) kwa kutumia
  • umeme
  • mapochopocho
  • ukumbi
  • wahudumu
  • n.k
Sababu kikao hiki ni cha ki-chama zaidi na siyo masuala ya kiserikali. Anyway hii nayo tutaipeleka Mahakamani, Msajili wa Vyama na Tume ya Uchanguzi juu ya CCM kutumia vibaya ofis za umma hususan kwa ajili ya kukatia rufaa ubunge waliopoteza na mikakati ya uchaguzi.

Hali hii inaonesha kuwa bado mentaliti ya 'Chama- Kushika- Hatamu' kama vile hakuna vyama vingi. Je vyama vingine vikiomba kutumia ukumbi wa Ikulu kwa masuala kisiasa vitapewa hiyo nafasi na Mnimkulu?

Mkuu, hapo kwenye RED, kwanza anaitwa MNIKULU sio MNIMKULU, hope ni yping error
Pili, nijuavyo huyu mtu kazi zake ni zile shughuli binafsi za nyumbani kwa rais, sio zile za kiofisi licha ya kwamba lazima awe ni mtu wa itifaki, hayo mengine hayamhusu sana.
I stand to be corrected!
 
binafsi nafikiri,diamond si raia wa kigeni na anayo haki stahili ya kwenda ikulu,vijana wangapi hawana la kujishughulisha,pamoja na udhaifu mwingi unaoweza kuuona lakini katika hatua tumpongeze, si tu amefanya vizuri katika tasnia ya music lakini pia kalitangaza taifa africa mashariki na kati katika sanaa,ushauri wangu ni busara kama angefanya hivyo kwa wasanii wote na hata kuwatia moyo.isitoshe yeye kama mwanadamu anaowatu anaofurahia kazi zao kama diamond yupo kati yao sioni sababu yoyote ya kumlaumu
 
Back
Top Bottom