JK aongoza kikao cha Kamati kuu ya NEC CCM leo. Ubunge Igunga kujadiliwa

nimesoma udaku kuwa hata Diamond mchumba wa Wema sepetu eti kaitwa Ikulu naye, sijui kweli, kama ni kweli jamaa anashusha hadhi ya jengo hilo tukufu

Bibikuku nakuheshimu sana, Diamond aende ikulu kufanyeje sasa? Kwani watafiti na wanasayansi wakiwemo maprofesa wote wa nchi hii wameshaenda ikulu?
 
sidhani kama watakuja na kitu kipya kwa ajili ya kuondoa au kusaidia kuondoa matatizo yetu nifikiriacho na kuwa watakuwa wanadiscuss ilikuwaje yule hakimu akatufanyia vile na kutudharirisha. Watakuwa wanaongelea pia kupungukiwa wabunge wawili pamoja na yule wa Sumbawanga,pia Arusha kwani Lema atashinda rufaa yake.
 
Bibikuku nakuheshimu sana, Diamond aende ikulu kufanyeje sasa? Kwani watafiti na wanasayansi wakiwemo maprofesa wote wa nchi hii wameshaenda ikulu?

mkuu hata mie nimepigwa na butwa nilipoona hiyo ngoja nikutafutie nikuwekee hapa sasa hivi, kuna watu wanaichezea na kuidhalilisha sana Ikulu yetu na wamebadilisha kuwa pango la wahuni (am sorry to say that)
 
Nimeiweka hapo chini picha ya gazeti la leo waliloandika mwaliko wa JK kwa Diamond Ikulu. Hii ni link pia

BACKIJUMAA3.jpg
 
Jamani hicho kikao kitapunguza bei ya umeme,vyakula,mafuta na mengineyo so saa mbili leteni habari za hicho kikao kama ww ni mhusika
 
Diamond Ikulu.jpg Diamond Ikulu.jpg

Hili ni gazeti la leo la Ijumaa na habari inadokeza hivi:

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemuita ikulu mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz' na kumpa jukumu maalum, Ijumaa linairusha hewani.

Kwa mujibu wa Diamond, juzikati ‘prezidenti' alimwita ikulu Magogoni, Dar es Salaam na kumpa shavu la kwenda kufanya shoo kwenye mkutano maalum utakaofanyika Washington DC nchini Marekani hivi karibuni.

"Yaa, rais aliniita akaniambia kuna shoo natakiwa kwenda kufanya Marekani
 
View attachment 62769View attachment 62769

Hili ni gazeti la leo la Ijumaa na habari inadokeza hivi:

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemuita ikulu mwanamuziki anayefanya vizuri kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ na kumpa jukumu maalum, Ijumaa linairusha hewani.

Kwa mujibu wa Diamond, juzikati ‘prezidenti’ alimwita ikulu Magogoni, Dar es Salaam na kumpa shavu la kwenda kufanya shoo kwenye mkutano maalum utakaofanyika Washington DC nchini Marekani hivi karibuni.

“Yaa, rais aliniita akaniambia kuna shoo natakiwa kwenda kufanya Marekani

kwa hili,liwalo na liwe kitaeleweka, T 2015 CDM
 
Nashukur bibikuku lakini hivi vitu vinaonyesha kukosa vipaumbele katika nchi vinavyojenga nchi zaidi ya burudani tu.

Angalia jinsi Rais anavyogeuka kuwa PROMOTA wa kumtafutia msanii matamasha nje na kuitumia Ikulu yetu. Huu ni udhalilishaji wa jengo letu
 
Kwa mara nyingine tena naomba niseme kitendo cha Spika wa bunge kuwa mjumbe wa CC ya CCM kinatia doa kiti cha Spika. Kuwa mjumbe wa NEC ni sawa lakini sio CC. Bunge limeharibika kabisa, kageuza bunge kuwa idara ya serikali na sasa bunge linanuka rushwa kama ilivyo serikalini.
 
Kuna kasoro nyingi sana katika utawaala zetu, mamlaka ya raisi nk. Nathani tusibiri katiba maana hakuna jinsi. Haiwezekani viongozo wa chama ndio wawe viongozi wa serikali kwa wakati mmoja. Ndio maana kunakuwa na maslahi binafsi, umiungu na mambo mengi wa kadha. Kofia ya uraisi itengewe na ukuu wa chama
 
Kwa mara nyingine tena naomba niseme kitendo cha Spika wa bunge kuwa mjumbe wa CC ya CCM kinatia doa kiti cha Spika. Kuwa mjumbe wa NEC ni sawa lakini sio CC. Bunge limeharibika kabisa, kageuza bunge kuwa idara ya serikali na sasa bunge linanuka rushwa kama ilivyo serikalini.

Nakubaliana nawe
 
Back
Top Bottom