Kilasara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 577
- 116
JK angepewa nchi 1995 tungekuwa wapi?
Licha ya kwamba Ben mwishowe anaonekana alitumia madaraka vibaya na kutumia Ikulu kuendeshea biashara binafsi; pamoja na madudu mengine kama IPTL, Kiwira, Radar na Ndege ya Rais kufanyika chini yake, ubabe na maamuzi yake ya haraka kwa kujiamini yalisaidia nchi kinamna. Serikali yake iliweza kukusanya kodi na dalili za kutulizana kwa uchumi kijumla (macro economy)zilianza kuonekana. Price inflation dropped to single digits after decades of double digits. Infrastructural rehabilitation esp. major roads started in earnest and this will augur well for the future.
JK angepewa nchi 1995 angeendelea na tabasamu zake na kusitasita katika maamuzi kama ilivyo sasa na hatungepiga hatua za kwenda mbele. Indecision is the current problem of Tanzania and it would have destroyed us between 1995 and 2005 had JKN not intervened to impose Ben on CCM and Tanzania.
Kilasara (JF Junior Member)