JK angefanya nini kwenye majimbo ya mafisadi?

Egyptian

Member
Apr 1, 2011
14
3
We unafikiri kisiasa wakati wa kuomba kura JK angefanya nini wakati anapita kwenye majimbo ya uchaguzi wakati wa kampeni,wakati huohuo kumbuka hali ya siasa ilikuwa ngumu kwa upande wake.Mi nadhani hakuwa na
ujanja isipokuwa kuwalinda wale mafisadi ili apate kura kwani angefanya vinginevyo ilikuwa kuiaminisha jamii kuwa CCM yote ni chafu!Hivyo ccm ingepoteza majimbo mengi zaidi.Mi nafikiri JK alitumia akili ili ashinde uchaguzi halafu baadae ndio afanye yanayofanyika sasa.
 
Yeye angekuwa muwazi, angefika hapo na kuwaelezea wananchi juu ya SERA Yake Juu ya RUSHWA NA UFISADI, Angewa sisitiza raia wafanye maamuzi sahihi sio kuwanyanyua mikono. Pia ALIKUWA ANAWEZA KUZUIA HALI HIYO KUPITIA VIKAO VYA JUU VYA CHAMA, ANGEFANYA MCHUJO APATE VIONGOZI SAFI... CCM SIKIO LAKUFA!
 
We unafikiri kisiasa wakati wa kuomba kura JK angefanya nini wakati anapita kwenye majimbo ya uchaguzi wakati wa kampeni,wakati huohuo kumbuka hali ya siasa ilikuwa ngumu kwa upande wake.Mi nadhani hakuwa na
ujanja isipokuwa kuwalinda wale mafisadi ili apate kura kwani angefanya vinginevyo ilikuwa kuiaminisha jamii kuwa CCM yote ni chafu!Hivyo ccm ingepoteza majimbo mengi zaidi.Mi nafikiri JK alitumia akili ili ashinde uchaguzi halafu baadae ndio afanye yanayofanyika sasa.

Ni dhambi mbaya sana ku-compromise simply kwa sababu ya kupata "kula!" Hakuna justification yoyote ya kuwalinda mafisadi! Ni afadhali kupoteza jimbo kwa mpinzani safi kuliko kuhakikisha jimbo linanyakuliwa na fisadi wa CCM!
 
Aliona kosa gani kujiombea kura mwenyewe na hao kuaacha wajiombee wenyewe?
 
Angewaomba fedha za kampeni na kuwagawia wananchi kisha akasema wananchi eeeh? Mimi baba yenu1 Sina nguvu tena eeeh za kumaliza rushwa, rushwa ni tamu sana, tunakula wote, nanyi mwagawiwa sasa lambeni chenu
 
Back
Top Bottom