JK anawezaje muondoa naibu waziri(mulugo) kwa kuvurunda ukamuacha waziri wake(kawambwa)?

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
wanajamvi tujadili hii mbeleko.... inawezekana vipi naibu waziri aonekane ndo hafaia ila waziri muhusika ndio aonekane hana makosa??? kitendo cha kumuondoa mulugo wizara ya elimu wakati yeye alikua ni naibu waziri na kumuacha waziri kamili kinaeleweka kweli? waziri ndio mwenye dhamana yote na yeye ndio anatakiwa a face the warth lakini karukwa shoka limemkuta naibu wake!!!naona kama mbeleko sasa imetengenezwa ya bati maana ya kitambaa imechanika kabisa!!!!
 
We hujui kua laana ya ndugu ni mbaya kuliko ya mtu baki??
Akimtoa huyu atakua hapiti kwenda kwao Bagamoyo, na ndugu watamuangalia vibaya kwa kumtosa ndugu yake!!
 
ilibidi mmoja afe kwa ajili ya wengine.ingawa mulugo hakuwa waziri mzigo cha ajabu yeye kaondoka lkn waziri mzigo kabaki
 
wanajamvi tujadili hii mbeleko.... inawezekana vipi naibu waziri aonekane ndo hafaia ila waziri muhusika ndio aonekane hana makosa??? kitendo cha kumuondoa mulugo wizara ya elimu wakati yeye alikua ni naibu waziri na kumuacha waziri kamili kinaeleweka kweli? waziri ndio mwenye dhamana yote na yeye ndio anatakiwa a face the warth lakini karukwa shoka limemkuta naibu wake!!!naona kama mbeleko sasa imetengenezwa ya bati maana ya kitambaa imechanika kabisa!!!!

Mulugo aliteuliwa kwa bahati mbaya. Kawambwa ni wewe unaye muona hafai lakini kichwa chake kizuri. Mulugo asiyejua Hata Tanzania imetokana na nini unasema kaonewa? What nonsense?
 
ilibidi mmoja afe kwa ajili ya wengine.ingawa mulugo hakuwa waziri mzigo cha ajabu yeye kaondoka lkn waziri mzigo kabaki

Alichoondolewa Mlugo siyo utendaji wake bali tetesi zinadai imekwisha bainika kwamba ni kweli amefoji foji vyeti vya Elimu yake ila wanaogopa kutangaza hadharani maana ni aibu sana kwa Kikwete alikurupuka kumteua
 
Mbona Mwigulu naye inadaiwa amefoji vyeti lakini ndiyo anazidi kuula?
 
Back
Top Bottom