JK Anapokumbuka shuka wakati kumekucha

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Kauli ya mwenyekiti wa ccm Dr.Jakaya kikwete kuwa ccm haifi na wanaoitabiria kufa watakufa wao kabla ya ccm ni ya kukurupuka.CCM imeshaanza kufa mapema na kinachosubiriwa mpaka sasa ni mazishi yake rasmi mwaka 2015.Atuambie kuna mikakati gani ya kukinusuru chama,maana mkakati wa kujivua gamba umeshindwa,mpaka sasa hawana operation yoyete wanazidiwa hata na mke wao mpendwa Cuf angalau kwa kukopi na kupaste operation ya chadema .Chama kimesababisha maisha magumu kwa kila mtanzania mwema,labda mafisadi tu ndo wanaofaidika.Mi naona hiyo kauli ilikuwa ni mbwembwe tu za kujifurahisha kwenye vikao vyao. Watupe sababu kwa nini chama kisife sio kuja na hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja
 
Anaekufa anasubiri? unamkumbuka yule Mzee aliyesema hafi mpaka CCM ife? nilisema humu Jf kuwa anajichuria kifo.

Tafadhali futa kauli yako na usijichurie. Na muombe Mwenyeezi Mungu wako akufikishe hiyo 2015. Usitabiri kifo cha mwenzako wakati wewe mwenyewe hujijui saa moja ijayo kama utakuwepo.
 
yaaani kuna watu wana upeo mdogo sana wa kuona na kung'amua,chama kilichopo madarakani ndio chenye serikali so hakiwezi kukimbilia kwenye operesheni kama za chadema na cuf kwakua kinatakiwa kitekeleze ilani yake ili 2015 wakawaambie wananchi extent ya mafanikio na what real happened.Opereshenizenyewe hizi za kunung'unika na kuropoka unadhani ndio suluhisho kwa matatizo yetu?subiri 2015 tupige kura tutajua nani atakufa na kwahakika atakaeshindwa awe CCM awe CDM ndio atakua kafa ivo
 
Kawaida ya mtu ukishakuwa looser. Yaani ukipata nafuu kidogo utalazimisha iwe kubwa mno. Pole Jk poleni wana CCM.
 
Anaekufa anasubiri? unamkumbuka yule Mzee aliyesema hafi mpaka CCM ife? nilisema humu Jf kuwa anajichuria kifo.

Tafadhali futa kauli yako na usijichurie. Na muoombe Mwenyeezi mungu wako akufikishe hiyo 2015. Usitabiri kifo cha mwenzako wakati wewe mwenyewe hujijui saa moja ijayo kama utakuwepo.

Kwa hiyo unampa ujumbe Jk asitabirie watu kifo sio?
 
JK siamini kama ni yeye,yaani kauli zake zinaonesha ni jinsi gani asivyosoma alama za nyakati.
 
yaaani kuna watu wana upeo mdogo sana wa kuona na kung'amua,chama kilichopo madarakani ndio chenye serikali so hakiwezi kukimbilia kwenye operesheni kama za chadema na cuf kwakua kinatakiwa kitekeleze ilani yake ili 2015 wakawaambie wananchi extent ya mafanikio na what real happened.Opereshenizenyewe hizi za kunung'unika na kuropoka unadhani ndio suluhisho kwa matatizo yetu?subiri 2015 tupige kura tutajua nani atakufa na kwahakika atakaeshindwa awe CCM awe CDM ndio atakua kafa ivo
we ndg yangu niambie vua gamba ilikuwa ni kutekeleza ilani gani ya ccm? Au na wewe umekurupka?
 
Kwa uzoefu wangu mtu anayeongelea kifo ni kuwa ameoshaona dalili za kuelekea uko.
Mfano mgonjwa anapokuwa ICU au yuko mahututi mara nyingi hutoa kauli tata sana na wenye hekima na busara mnajua yunkaribu kukata roho
Kama ni mwenye watoto anaanza waita wote na kuwapa wosia atlast anaomba maji na kufariki.
Natumai mtakuwa mumeconnect dot na kauli ya JK
 
yaaani kuna watu wana upeo mdogo sana wa kuona na kung'amua,chama kilichopo madarakani ndio chenye serikali so hakiwezi kukimbilia kwenye operesheni kama za chadema na cuf kwakua kinatakiwa kitekeleze ilani yake ili 2015 wakawaambie wananchi extent ya mafanikio na what real happened.Opereshenizenyewe hizi za kunung'unika na kuropoka unadhani ndio suluhisho kwa matatizo yetu?subiri 2015 tupige kura tutajua nani atakufa na kwahakika atakaeshindwa awe CCM awe CDM ndio atakua kafa ivo
Vyama vingi tu viliishakuwepo madarakani Afrika hii na sasa havipo,hivyo havikuwa na wenye akili sawasawa kama hicho cha kwenu?,lakini siku zote swara la kufa maji lazima liendane na kutapatapa.Wapo viongozi wenu waliowahi sema mchana kweupe kuwa upinzani ni vyama vya msimu, na ukiwauliza sasa wakili hilo hadharani itakuwa balaa,sisi tunawatakieni safari njema ya huko walipo UNIP,KANU,UPC CONGRESS n.k.
 
vua gamba haikua operesheni ndg,nadhani una matatizo kutofautisha operesheni,mkakati,slogan and the like,shule muhimu jamani

ndio shule mhimu kweli,mi nimeuliza vua gamba ilikuwa ni nini? Jibu swali bhana
 
Tembo akimtetemekea Sungura ujue kuna jambo.Janga la Kaya a.k.a baba riz hana jipya zaidi ya kujfariji&kukwepa zigo la lawama ya chama kufia mikononi mwake.
 
Mi naomba ushauri. Nijiunge na chama gani kati ya hivi viwili, CCM au CDM? Zomba nishauri maana najua wewe kwa umri ulio nao una busara sana kuliko hawa vijana wa juzi.

Pia nijuze nikijiunga na CDM nitapata faida gani kama mzawa?
Nikijiunga CCM itanifanyia nini kabla ya 2015?
 
Mimi ninachofahamu ni kwamba mgonjwa anayezungumzia kifo ujue siku zake za kuishi zinahesabika. JK anajua kabisa ndani ya moyo wake kuwa anaongoza chama mfu ambacho muda wowote kitapelekwa motuary na baadaye kuzikwa. Pumzika kwa amani CCM. Karibu CDM.
Anaekufa anasubiri? unamkumbuka yule Mzee aliyesema hafi mpaka CCM ife? nilisema humu Jf kuwa anajichuria kifo.

Tafadhali futa kauli yako na usijichurie. Na muoombe Mwenyeezi mungu wako akufikishe hiyo 2015. Usitabiri kifo cha mwenzako wakati wewe mwenyewe hujijui saa moja ijayo kama utakuwepo.
 
Mi naomba ushauri. Nijiunge na chama gani kati ya hivi viwili, CCM au CDM? Zomba nishauri maana najua wewe kwa umri ulio nao una busara sana kuliko hawa vijana wa juzi.

Pia nijuze nikijiunga na CDM nitapata faida gani kama mzawa?
Nikijiunga CCM itanifanyia nini kabla ya 2015?

Ngoja tu nikuulze swali lisilohitaji hata elimu ya shule ya msingi;Tangu ulipoijua CCM imekufanyia yapi?Jiunge nayo usubir kulimbokwa!ha..haah!
 
Mimi ninachofahamu ni kwamba mgonjwa anayezungumzia kifo ujue siku zake za kuishi zinahesabika. JK anajua kabisa ndani ya moyo wake kuwa anaongoza chama mfu ambacho muda wowote kitapelekwa motuary na baadaye kuzikwa. Pumzika kwa amani CCM. Karibu CDM.

Una wabunge wasiozidi 15 wakuchaguliwa, fananisha na wa CCM zaidi ya 200. Hata haya huoni wala vibaya hujui?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom