JK anaongoza kwa kuvunja katiba na wabunge kubaki kimya: Grrrrrrrrrrr!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,467
Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete

Rais kwa mujibu wa katiba hii anatakiwa kufanya mambo kwa maslahi ya nchi na ustawi wa wananchi. Mambo hayo yasipofanyika ni sawa na kwenda kinyume na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katiba inasema:
Ibara ya 74
(4) (a) Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi atakoma kuwa mjumbe ukimalizika muda wa miaka mitano tangu alipoteuliwa


[Maswali ya Msingi: Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Ben Mkapa hakuwahi kubadilisha wajumbe wa Tume ya Uchaguzi; pia Rais JK hajafanya hivyo mpaka sasa, je wamekuwa na ajenda gani ya siri hapa? Kama kusema Tume haichunguzwi mahakamani, basi ndio hata wajumbe hawabadiliki? Wajumbe wamekuwa wale wale tu – Jaji Lewis Makame, Rajabu Kiravu, Prof. Chaligha – zaidi ya miaka mitano! Je, kwa maana hiyo wajumbe wa Tume wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2000, 2005 na 2010 hawakutakiwa kwenye Tume kwa mujibu wa katiba na hivyo Tume kuwa batili?]
 
Ati eeh! Kama ni hivyo kazi wafanyazo hao wajumbe ni batili kisheria...yaani baada ya miaka ile mitano ya mwanzo, kazi alizofanya baadaye ni batili na hazitambuliki kikatiba. Kuna uwezekano wa kufukua kitu kizuri hapa!
 
Hivi wajumbe ni pamoja na viongozi? yaann m/kiti ,mkurugenzi wa tume? naomba kufafanuliwa
 
Electoral Commission
74.-(1) There shall be an Electoral Commission of the
United Republic which shall consist of following members to be
appointed by the President:
(a) a Judge of the High Court or a Justice
of the Court of Appeal, who shall be
the chairman;
(b) a Vice-Chairman;

Electoral
Commission
Act No. 4 of
1992, s. 24
Act No. 7 of
1993 s.?,
 
Back
Top Bottom