Elections 2010 JK anaogopa nini kufuta kesi za Mramba na Mwakalebela?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Nauliza: Kutokana na yaliyojiri hivi karibuni -- hasa kile kiwewe kilichompata mgombea urais wa CCM kutokana na wimbi kali la nguvu za Dr Slaa -- kwanini mgombea huyo asiamuru kufutwa kwa kesi za Mramba, Mwakalebela na vigogo wengine wa chama hicho weanaokabiliwa na kesi mahakamani?

Kila mtu ameona ujasiri mkubwa aliofanya Rais Kikwete katika kuvunja maadili (ethics) kwa kuwanadi Mramba na Mwakalebela kwa kuwaambia wasitishike na lolote -- hatua ambayo wengi wanatafsiri kwamba kesi zinazowakabili si chochote au lolote, kwa nini asifupishe tu mambo na kuwafutia kesi sasa hivi, kuliko kuwafanyia Watz geresha kubwa? Anaogopa nini kufanya hivyo sasa hivi?

Kila mtu anajua huko mbeleni kesi hizi ama zitafutwa, au washitakiwa watashinda (kutokana na "matamshi ya JK"), au watasemehewa muda si mrefu baada ya kutiwa hatiani.

Uwezo anao. Katiba inamruhusu, anangoja nini? Anaogopa nini kuvunja maadili mengine katika haha zake za kutaka kumpiku mpinzani wake?
 
Hata mimi nashangaa kwa nini hafuti hizo kesi. Anatugeresha tu hapa!
 
Amechanganyikiwa!

Mafisadi wanahaha ili arudi naye kwa kuwa anapenda kuendelea kupanga Ikulu yuko tayari kusema, kutenda lolote kuwatimizia, hata kama ni kukiukwa maadili au kuvunja Katiba. JK ni kiongozi wa ajabu kweli kweli nchi hii imekuwa na bahati mbaya kupata.
 
Sheikh Yahya alitabiri kuwa 2005 ataingia Ikulu Rais mwanamke, alipoingia JK akaja kudai eti "JK ana sura ya kike!" Kwenye kampeni anauza sura tu si vinginevyo!
 
Anhhh! Labda alikua anamaanisha MAmA SALMA, Maana kwa sasa ndo Presidaa, Private chopper, V8 za kutosha full ulinzi. Da kazi kwelikweli.
 
mtu ana kesi ya Rushwa akipanda jukwaani anatetea rushwa leo hii anapanda jukwaani anamuita mtu mwenye kesi ya rushwa anamkumbatia jukwaani yaani anakumbatia rushwa
kweli jk msanii

Halafu unaniambia nimpe huyu JK kuRa yangu sidanganyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hattta kidogo

Nafikiri CCM waanzishe chuo cha rushwa maana CCM bila rushwa haiwezekani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom