JK anamuenzi vipi Mwalimu?

wahindi watarudi na nguvu mamvi akiingia, hivi utakulaje na watu halafu ukipata cheo ujifanye mkali? haiwezekani
 
jamani,anamuenzi kwa kupiga picha na wasanii wanaotamba duniani kama 50Cent na wengineo kila mara atokapo nchini kuelekea Marekani
 
Back
Top Bottom