Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Taaanganyika tanganyikaaaaaaaaaa nakupenda kwa moyo woteeeeeeee.....ghahahahahhahah napenda wimbo huuu! ila huu siupendi. Tanzania Tanzaniaaaaaaa..... siupendi kabisa kuusikia
Inasadikiwa kwamba kwa vile mambo ya kusimamia nchi yamemshinda JK sasa anatafuta hifadhi nchi nyingine ili akipata ajiuzulu.
Tatizo hakuna nchi inayomkubalia -- za hivi karibuni ni Syechelles na Malaysia, zote zimesema NO! JK anataka kufanya historia ya kuwa Rais wa kwanza wa TZ kujiuzulu akiwa madarakani baada ya kuivurunda na usimamizi mbovu.
Aibu moja inaliikabili taifa let ni kwamba tunasherehekea miaka 50 ya uhuru nchi ikiwa kizani -- kutokana na kushindwa kusimamia suala la umeme. Hilo ni moja tu.

Taratibu ndugu..........JF SI KIJIWE.......NI HOME OF GREAT THINKERSThread ya kuchangamsha kijiwe.
Ni wewe na familia yako ndio mtakaofaidikanae huyu jk alifaa sana kua DC sio Urais.JK ni miongoni wa viongozi wanaoheshimiwa sana nchi za nje, hasa nchi zenye demokrasia na uchumi huru. Tanzania uchumi unakuwa vizuri kwa mujibu wa benki ya dunia. Inawezekana kuna mambo mengi ya ufisadi bado - lakini haya yatachukua muda, naye pekee hawezi kuyamaliza kwa muda mchache na wananchi pia washiriki kikamilifu katika vita dhidhi ya ufisadi sio kulalamika tu. Leo JK akiamua kuondoka TZ, na hakika atapata offer nyingi sana kutoka katika vyombo mbali mbali duniani vya kisiasa, uchumi , biashara ili waweze kufaidika na uzoefu wake.