JK anahangaika kutafuta nchi ya kuishi, akipata atajiuzulu

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Inasadikiwa kwamba kwa vile mambo ya kusimamia nchi yamemshinda JK sasa anatafuta hifadhi nchi nyingine ili akipata ajiuzulu.

Tatizo hakuna nchi inayomkubalia -- za hivi karibuni ni Syechelles na Malaysia, zote zimesema NO! JK anataka kufanya historia ya kuwa Rais wa kwanza wa TZ kujiuzulu akiwa madarakani baada ya kuivurunda na usimamizi mbovu.

Aibu moja inaliikabili taifa let ni kwamba tunasherehekea miaka 50 ya uhuru nchi ikiwa kizani -- kutokana na kushindwa kusimamia suala la umeme. Hilo ni moja tu.
 
Mhh!!!. Hii thread imekaa kimtindo wa zile za MS -- hazina substance. Lakini MODS asiiondoe hii ama sivyo aziondoe pia zile za MS zisizokuwa na kichwa wala miguu kama vile moja isemayo wasiompenda JK watafute nchi.
 
Akibwaga manyanga nchi italipuka kwa maandamano makubwa ya nderemo na vifijo haijapata kutokea! Lakini kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu, yaani yule Mzanzibari aliyechoka ndiye awe rais wetu? Lakini on second thoughts -- it's better that way!
 
Inasadikiwa kwamba kwa vile mambo ya kusimamia nchi yamemshinda JK sasa anatafuta hifadhi nchi nyingine ili akipata ajiuzulu.

Tatizo hakuna nchi inayomkubalia -- za hivi karibuni ni Syechelles na Malaysia, zote zimesema NO! JK anataka kufanya historia ya kuwa Rais wa kwanza wa TZ kujiuzulu akiwa madarakani baada ya kuivurunda na usimamizi mbovu.

Aibu moja inaliikabili taifa let ni kwamba tunasherehekea miaka 50 ya uhuru nchi ikiwa kizani -- kutokana na kushindwa kusimamia suala la umeme. Hilo ni moja tu.

Ni kweli inasadikika na nyeti zinasema amepata nchi ya kusadikika.
 
hAYA NI MAWAZO YA KITOTO ETI kIKWETE ANATAKA KUKIMBILIA NJE YA NCHI KUISHI.Tupende tusipende, hakuna tena kipindi cha kuwapa wanzanzibari kutawala tanzania kama maraisi. Hatutaki raisi mzanzibari tena. Hawa wanzanzibari wamezoea sana kuwaonea wakristo huko zanzibari. Hivyo tukiwapa nchi tuu kutawala, basi utaona wakristo tutatukanwa sana misikitini. utaona mataifa kama Iran yanaingiria sana mambo yetu ya ndani na kutaka kututafutia Raisi kama vile walivyotaka kufanya kwa Malecela. heli tuvunje muungano kuliko mzanzibari kuwa raisi.
 
Mbona kuna sehemu nyingi tu za kupumzika hapa Tanzania? Mimi ninapendekeza akapumzike Tanga Tourist Hotel. Maana rais wa huko hana swali dhidi yake.
 
Ndugu yangu, marais wa type hii huogopa sana kupumzikia nchini mwao hasa wakishaona utawala ujao ni lazima watatinga gerezani. Iwapo kuna uhakika CCM itaendelea kuwapo madarakani hapo hakuna shaka, lakini siyo sasa ambapo chama hichi kimepoteza mwelekeo.

Mimi naamini kabisa JK anafikira mahala pa kuishi, mbali na Tz, atakapokuwa raia wa kawaida.
 
Hawezi kutuponyoka huyu mjamaa -- tutahakikisha he pays for his crimes.
 
Mbona aliwahi kusema kushindwa kwake siyo ajabu maana hata waliomtangulia eti nao walishindwa sasa kumbe anaishi mguu ndani mguu nje...Mr.BOY2MEN
 
Mtasema kila neno lakini ukweli upo pale pale.

Mtabanana humo humo Bongo. hakimbii mtu huko.

kama kukimbia angekimbia kwanza Mkapa kwa kuuza mali za Serikali yenu ikiwemo pamoja na mashirika ya Serikali na majumba.
 
Inasadikiwa kwamba kwa vile mambo ya kusimamia nchi yamemshinda JK sasa anatafuta hifadhi nchi nyingine ili akipata ajiuzulu.

Tatizo hakuna nchi inayomkubalia -- za hivi karibuni ni Syechelles na Malaysia, zote zimesema NO! JK anataka kufanya historia ya kuwa Rais wa kwanza wa TZ kujiuzulu akiwa madarakani baada ya kuivurunda na usimamizi mbovu.

Aibu moja inaliikabili taifa let ni kwamba tunasherehekea miaka 50 ya uhuru nchi ikiwa kizani -- kutokana na kushindwa kusimamia suala la umeme. Hilo ni moja tu.

Source??
 
Hawezi kimbia Kaka. Urais si lele mama. Kila kiumbe TZ kinamtegemea kwa mawazo yenye mwelekeo na designers suti na viatu atapata wapi tena akiachia. Yeye hatungi vitabu kama Obama na hata akikitunga sijui nani atakisoma kwa hali halisi ya nchi ilivyo.
 
Back
Top Bottom