Elections 2010 JK anafuata maagizo ya Dr. Slaa?

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
Nimejaribu kufuatilia na kubaini asilimia kubwa ya kila analoagiza Dr. Slaa linatekelezwa na rais, hii inamaanisha nini kuwa Slaa anaona mbele zaidi ya Kikwete?

Nikianza na suala la kupelekwa mahakamani kwa baadhi ya wezi wa EPA, BOT nk, nikija suala la kurudishwa bungeni kwa sheria ya gharama ya uchaguzi pia JK kutekeleza suala la mishahara ya wafanyakazi na mengine, nagundua JK anatekeleza maagizo ya Dr. Slaa.

"Juzi tulipopita Morogoro, tuliahidi kushughulia tatizo la Mtibwa, leo Rais Kikwete ameingilia kati na kumaliza tatizo hilo.

"Niliagiza amfukuze aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT), marehemu Dk. Daud Balalli, akamfukuza, nikaagiza amfikishe mahakamani Mramba na wenzake, akafanya hivyo, kwa hiyo sitashangaa leo akiamua kumaliza suala la DECI, sasa nasema atupishe wenyewe, tuongoze nchi," alisema Dk. Slaa.

Je Kikwete kwa kufuata maagizo mengi ya Slaa huoni JK anaonekana kama waziri tu na si kiongozi wa nchi, kwanini asimwachie Slaa mwenyewe aongoze nchi?
 
Inaelekea, bila upinzani makini serikali ingeendelea kulala usingizi!!! natamani safari hii ccm iwe chama cha uinzani!
 
Inaelekea, bila upinzani makini serikali ingeendelea kulala usingizi!!! natamani safari hii ccm iwe chama cha uinzani!


hagonga
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateSat Sep 2010Posts2 Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power0



Bahati yako unasapoti chadema, ungesapoti CCM ungekuwa umetumwa kuja kuvuruga janvi
kaaaazi kweli kweliiii
 
Inaelekea, bila upinzani makini serikali ingeendelea kulala usingizi!!! natamani safari hii ccm iwe chama cha uinzani!

Ni kweli uyasemayo.

ila nafikiri ni vigumu ku justfy kuwa JK anafuata maagizo ya Slaa
 
Back
Top Bottom