JK anaelewa kweli hapa?!!!!!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,338
6,463
cd-1.jpg
 
Hivi G8 walipiga kwanza kikao chao halafu ndio akina JK wakaitwa!!!??
0.jpg
 
hawezi kuelewa wewe...yaani viingredha vya obama plus cameron JK si anaona nyota tu ...
 
Hivi G8 walipiga kwanza kikao chao halafu ndio akina JK wakaitwa!!!??
0.jpg

Ndio maana yake , wakubwa walikutana wakaweka mkakati vitu gani walivitaka hawa omba omba wavitimize na mara baada ya kuafikiana ndio mkweree na wenzie wakaitwa na kuelekezwa nini cha kufanya!! Neo-colonialism at aits best!! Nkrumah and Nyerere would never take this shit!!
 
Hamna bwana JK ana very strong english background ukilinganisha na Angela na huyo mfaransa....

halafu Obama na Cameron wanajua ya kuwa akiwepo mjerumani lazima uongee kiingereza fasaha na sanifu na si cha mtaani...
 
hawezi kuelewa wewe...yaani viingredha vya obama plus cameron JK si anaona nyota tu ...

Angekuwa Slaa ndio angewaelewa, bahati mbaya Watanzania wengi hatukumtaka awepo kwenye vikao kama hivyo.
 
Omba omba JK, lazima alikuwa anasikiliza kwa makini, na kuelewa pia...
 
Back
Top Bottom