Jk ana taswira ya JUDAS ISKARIOT.......au Mbowe pia?........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
attachment.php



mwangalie JK anavyomshika mkono mbowe...............na hata tabasamu lake linaonekana halitoki moyoni.............hata alivyomshika mkono mbowe hakuna msisitizo au fumbate la kuwa wapo pamoja................ni fumbate mwororo sana la mtu ambaye anataka kuvunja makutano aendelee na shughuli ya kusaini sheria ya mchakato wa katiba mpya...........mwangalie mbowe hata kumwangalia JK machoni hawezi.......................unapoona mtu hawezi kukutanisha macho yako na ya kwake ujue hana nia nzuri nawe...........................na unapoona tabasamu ni la kijuujuu ujue usaliti upo njiani.....................yaani amekumulika mchana ili usiku akuchome.............................Jk alichotaka ni Chadema wamtambue kwa kumtembelea ikulu lakini siyo kufanyia kazi ushauri wao.....................................Chadema walifikiri kuwa wanaweza kumbadilisha mbuzi kuwa kondoo................sasa wanajua vyema....................

kati yao yupi ni msaliti wa mwenzie..........................................?????????????????????

au wote walisalitiana tu?
 
Back
Top Bottom