JK ana nia gani na CCM HASA WAKATI HUU WA KAMPENI?

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,846
11,210
a mtanzania wa kawaida, nashindwa kuelewa mantiki ya rais JK ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa kushindwa kabisa kukipa sapoti chama kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki na kwenda kuongea na wazee katika muda ambao kampeni za chama chake ndio zinazinduliwa rasmi

Napata tabu zaidi kuelewa iwapo hii hotuba yake kwa wazee wa CCM Dar ilikua ni urgent kiasi kwamba isingeweza kusubiri hata kehso tu, au basi hata leo usiku

Nashindwa kabisa kuelewa, kumuelewa na kuelewa lengo lake washauri wake
 
Hata yeye ameshajichokea anasubiri tu muda wake uishe awaachie li CCM lao.
 
Hakuna kazi yoyote Arumeru, Mzee MKAPA anatosha kumnadi SIOI na ushindi utapatikana.
 
Hakuna kazi yoyote Arumeru, Mzee MKAPA anatosha kumnadi SIOI na ushindi utapatikana.

sema ushindwa utapatikana, unajua ni aibu rais akapiga kampeni halafu mgombea wake akashindwa jk ameshasoma alama za nyakati aibu aliyoipata kumpigia debe Mramba hata kujirudia tena pia zomeazomea njiani anaona soo ngoja ajikalie na wazee hapo jubilee bora liende!!
 
Haingii akilini hata iweje

Ya leo ni ishara kwamba CCM kwa sasa ina makundi yasiyopikika tena!!!
 
I bet hata yeye mwenyewe anajishangaa the same way jinsi tunavyomshangaa..
 
It is a shame really

Ameharibu kwenye hotuba yake, na ameharibu coverage ya kampeni

the guy is suicidal to CCM
 
Hivi hotuba yake ya leo,ina manufaa gani?
Sijapata chochote zaidi ya kupoteza muda wangu!
Jeykei kaishiwa kiakili,kimvuto na kisiasa.Ameshapoteza mwelekeo maskini,
 
mimi nimeshangaa sana to say the least... its like he just went into an episode ya ajabu; kadanganya, kasimanga, kazusha while his party is vying for one of the most strategic constituency in the country
 
Wabongo bwana, angeenda wangesema mengine. Alishamkabidhi Ben na timu yake anawaamini.
Wana imani kuwa Ben ana ushawishi kuliko JK
 
Nteko

issue sio kwenda, ni ile kuhutubia wakati mkutano wa arusha unaendelea.....
 
a mtanzania wa kawaida, nashindwa kuelewa mantiki ya rais JK ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa kushindwa kabisa kukipa sapoti chama kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki na kwenda kuongea na wazee katika muda ambao kampeni za chama chake ndio zinazinduliwa rasmi

Napata tabu zaidi kuelewa iwapo hii hotuba yake kwa wazee wa CCM Dar ilikua ni urgent kiasi kwamba isingeweza kusubiri hata kehso tu, au basi hata leo usiku

Nashindwa kabisa kuelewa, kumuelewa na kuelewa lengo lake washauri wake
Mkuu huo ni muono wako tu, wanajua wanachofanya
Take it from...... wamenyong'onyeza ma DRs na jimbo watachukua, chezea CCM weye

Thanks Paulss

Lets wait for both - mnyongonyeo wa DRs. na kuchukuliwa kwa jimbo
 
Fuso ngapi mkuu zimetumika? na posho mmetoa buku ngapi ngapi? na hao mliowatowa Simanjiro mtawawahisha makwao usiku huu?
Mkuu nimemjibu mtoa hoja kwa kumuonyesha na picha kwamba Pamoja na JK kuzungumza na wazee DSM lakini Arumeru hakuja athirika na hilo... thas all mkuu
Sasa kama wamepewa milioni au watarudishwa hasubuhi hainihusu
 
hata mwenyekiti kawachoka wenzake wao ccm,mantik ya kuzungumza na wazee wa dsm ni kuondoa matangazo ya moja kwa moja frm arumeru.naamini kiongoz makini atapatikana!
 
Back
Top Bottom