JK ana kila sababu kubeba lawama kwa jimbo la Nyamagana

Ainekisha

Member
Nov 1, 2010
10
0
This is very shame haiwezekani kwa jimbo la Nyamagana akaacha majukumu ya msingi kuja mwanza kulazimisha matokeo yatangazwe ndivyo sivyo kwa kutumia rasilimali za watanzania, kuna nini jimbo la nyamagana mpaka kusababisha uvunjifu wa amani ????? wote walikuwa hapa wote JK,Kinana,na Makamba wakimhaidi Wenje Ukuu wa wa wilaya na milioni 700 kwa nchi maskini ya tz kweli????!!!!!! sasa nadhani jimbo la Nyamagana ni zaidi IKULU ya magogoni
 
Kama ni kweli kwamba JK, Kinana na Makamba walimwahidi Wenje Ukuu wa wa wilaya na milioni 700; basi hali inatisha, ila nashauri tuichukulie hii kwa sasa kwamba ni tetesi. Hata hivyo tusubiri Wenje mwenyewe au uongozi wa Chadenma utoe tamko rasmi kuhusu haya ndipo twaweza kuamini; na hapo ndipo tutajua kama CCM ilitaka kutoa rushwa au hapana!!
 
Nyamagana kuna mapato sana jamani ndo maana walikua wanaligombania sana, so mimi sionii cha ajabu kwa CCM kulipigania hilo jimbo kwani katika majimbo ambayo yana ingiza kipato nao limo pia katika kufanya deal zao za kifisadi ziwe zina pita vizuri.
 
utaumwa mbu bure kwa kusubiri evidence, habari ndo hiyo kwa Nyamagana, ahadi zinatolewa kwa siri kubwa mno hata huwezi kurekodi kwa kutumia simu yako maana unalindwa hasa, wakifahamu kosa moja inaweza kuwa kashfa kubwa mno
 
hizi kashfa sas zimezidi, mbona inonekana ni za CCM pekee, hapa Arusha , inasemekana , lowasa alikuja ampe lema mkwanja aishie, lakini akachomoa, cha ajabu mitrani wafuasi wa lema wanakiri kuwa huyu dogo yupo for money ila angepokea kwa sasa wangemuua wanavyodai na kitisho hicho ndio kimemuogopesha, hata 2005 alipewa m mia kadhaa akaachia jimbo, nimefanya utafiti nikagunda ni kweli, maana nilionana na felix mrema , ktk coner moja akaniambia hiyo ni kweli 2005 walimpa jamaa mkwanja, baada ya habari hizi nikasema hamna mabadiliko, coz anayepinga ufisadi kumbe naye ni fisadi, nimeconcludi kuwa watanzania hatuchagui viongozi bali chama, maana kunasehemu wamepita wabumge kwa ajili ya chama tu, tumeacha wabunge wazuri eti kisa ni CCM au Chadema, its a shame!!!!
 
Ccm ndio wenye mahubili ya chama kwanza mtu baadae, lakini vyama vingine makini huwa vinahubili, chaguwa mtu na sio chama. Shame on ccm.
 
Siasa za kuchagua cham zinatuponza. Ushabiki tu bila kujali anayegombea ana uwezo au la tukiendelea hivi hata baada ya miaka 100 ya uhuru hatutakuwa hata na kiwanda cha kutengeneza sindao!!!!!
 
Back
Top Bottom