JK amteua Saada Mkuya Salum kuwa mbunge

Tayari ameshakuwa naibu Waziri Wizara ya Fedha Mkuu!!! Kazi ni kujuana tu, atashirikiana na Janet Mbene!!!

Msitegemee makubwa sana toka kwa huyu binti. Ni miongoni mwa 'fast track' hadi kufukia commissioner huko Zanzibar. Kujuana nako kunasaidia.
 
Nchi hii kamwe haiwezi kutawalika kwa fikra za udini, so nyie wote mnaoingiza fikra zenu chafu humu mnawanufaisha tu wazungu na waarabu waliowaletea hizo dini ili wawadivide so that wawarule kirahisi....!!:yawn::yawn:
 
Jokakuu nakuaminia mkuu duh yaani ulivyosema ndio hivyo hivyo ...........big up mkuu

mambo,

..asante.

..lakini wizara ya fedha mara nyingi huwa inakuwa na naibu waziri toka znz.

..ukizingatia kwamba huyu mama alikuwa Commisioner wa fedha za nje wa ZNZ basi ikawa rahisi kwangu kutabiri atakuwa anapelekwa makao makuu wizara ya fedha.

..didnt have any inside information.
 
Amechukua nafasi ya Hayati Dr Mgimwa, kama Waziri wa Fedha. Mnaomfahamu/ mliowahi fanya nae kazi hebu fungukeni huyu Mama ni Mtendaji kiasi gani na vipi kuhusu Uadilifu wake. Wasi wasi tulionao ni kwamba kazungukwa na Manaibu Mawaziri ambao labda wamewekwa hapo kwa sababu maalum huku Uadilifu na Utendaji kazi wao ukitia shaka.
 
Back
Top Bottom