JK Amteua Mjomba wa Vicky Kamata kuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza

Status
Not open for further replies.
GreatThinkers,
Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao

Sijajua ni kwa nini mbinu hii chafu anaiendekeza, leo hii naandika nikiwa Nairobi-Kitongoji cha Makadara.
Nikitua Bandari ya Salama itabidi nandike bango pale Magogoni ili akilisoma anijibu kupitia hotuba zake mwisho wa mwezi anazotayarishiwa na Mwimbaji wa Taarabu.
Nawasilisha.
Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kuna yule Waziri mwenyedhamana ya ustawi wa jamii jinsia na watoto alikuwa mwimba taarabu, ni Mpododo kwa kwenda mbele, yaani JK alifurahishwa na ule mkorogo wake akamteua kuwa waziri. Mkuu anayejua taarifa za Zakia Meghiji atuwekee hapa jamvini.
 
Kumshangaa huyu jamaa na kumjadili jinsi anavyowateua wasaidizi ni kupoteza muda.Tukijadili ni kuwa tunamwosha kwa kufikiri kuwa anafanya bahati mbaya.Huyu bwana hana tena aibu , pale ambapo anaharibu ndio fahari kwake na wapambe wake kuwa hakuna wa kumuuliza .Kweli hata CCM wamelala ki akili kama sio wamezimia kwa kuruhusu huyu bwana afanye anayojua yeye kwa maslahi binafsi.
 
Tuache jazba na chuki binafsi. Mwenye CV ya huyo mkuu wa mkoa aimwage ukumbini ili tujue kama ana uwezo au ndio undugulaization.
 
Duh....ndo maana wenyewe walikarisika sana iliposemekana (kupitia wikileaks) ati mkuu wa kaya (wakati huo akiwa waziri) alikuwa anafanya unregistered "special events" pale Kempinski.
 
Mm,wewe taahira kabiusa!
je angemteua Kaka yako? Ungeongea? Hizo ni chuki zilizopitiliza kiasi. Hata kama una ushaidi ni mjomba wake,ilo halituhusu wa-tz,tunachohitaji ni utendaji kazi. Hatutaki kujua mahusiano ya watu.
 
GreatThinkers,
Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao

Sijajua ni kwa nini mbinu hii chafu anaiendekeza, leo hii naandika nikiwa Nairobi-Kitongoji cha Makadara.
Nikitua Bandari ya Salama itabidi nandike bango pale Magogoni ili akilisoma anijibu kupitia hotuba zake mwisho wa mwezi anazotayarishiwa na Mwimbaji wa Taarabu.
Nawasilisha.
Kwani kuwa Mjomba wa Vicky Kamata ni dis-qualification?.
 
GreatThinkers,
Filamu anazocheza Jk ni zile zile ingawa zina Title tofauti. Ni kweli Mh. Ndikilo mkuu mpya wa mkoa wa Mwanza ni Mjomba wa Vicky Kamata ushahidi ninao

Sijajua ni kwa nini mbinu hii chafu anaiendekeza, leo hii naandika nikiwa Nairobi-Kitongoji cha Makadara.
Nikitua Bandari ya Salama itabidi nandike bango pale Magogoni ili akilisoma anijibu kupitia hotuba zake mwisho wa mwezi anazotayarishiwa na Mwimbaji wa Taarabu.
Nawasilisha.
Ndiyo zake hizo, kwa kulipa fadhila hata kama ni za chupi, hajambo mheshimiwa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom