JK amteua Kairuki kumrithi Makamba

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
JK amteua Kairuki kumrithi Makamba

Tuesday, 30 November 2010 19:09 newsroom


Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Mbelwa Brighton Kairuki kuwa Msaidizi wa Rais katika masuala ya hotuba. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo, iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam, jana, imesema kuwa uteuzi huo ulianza juzi.
kk.jpg


Mbelwa Kairuki anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Januari Makamba, ambaye amechaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga. Kabla ya uteuzi huo, Kairuki alikuwa Ofisa Mambo ya Nje na alikuwa Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.




source:JK amteua Kairuki kumrithi Makamba
 
...So, Mheshimiwa January Makamba sasa ni Mbunge tu basi? Meaning more NO Ikulu connectios? Well, well, well......:heh:
 
Kumbe Makamba madogodogo, Toa na makamba Makubwa....? Yale makubwa tumeyachoka.
 
Back
Top Bottom