JK amteua Dkt Chrisant Mzindakaya kuwa Mwenyekiti Bodi ya NDC

NDC ni kama mashirika ya kikoministi.Ni kama SUDECO,RTCs,NMC etc.
Hakuna wanachofanya.Ni rubbish,hata hao maprof wa Vyuo vikuu kuwa chini ya "dr" ambaye hajasomea ni kujidhalilisha.

Ukiangalia wenzetu magharibu,serikali haifanyi biashara,ipo kukusanya kodi,ulinzi ,elimu,na kiasi afya.
Ndio maana nchi za wenzetu wako mbali ,ni makampuni binafsi ndio yanalet amaendeleo ,sio serkali.

Hutasikia hata siku moja President Obama ametea Wakuruigenzi wa bodi ya kampuni,maana kampuni nyingi ni plc au binafsi.
Nafikiri Katiba mpya ijayo ,iangalie suala hili maana it is too much now
 
Back
Top Bottom