JK amegoma kuhutubia Wazee wa Dar?

mi nakaa mpaka saa nane nijiridhishe hajaongea,

sasa tukisema ni DHAIFU kuna wa kukanusha?

hata baba akiwa harudi nyumban siku hiyo huwa anatoa taarifa ili asiwekewe chakula na kusiwepo na mtu wa kumfungulia mlango.

mi nitadai fidia ya usingiz wangu.
Dahaifu, liwalo na liwe!!!!!!!
 
...Mh. si msanii kitambo labda kesho atawaita wazee wa dar tena ndio aongee nao.
 
Hii nchi sasa inazidi kuzama hadi mambo muhimu watu wanayafanyia mchezo? Swala la Rais kuhutubia Taifa kwanini Ikulu watoe taarifa kwa nyombo vya habari na kukaa kimya hadi muda huu? Udhaifu mwingine huu

Hii ni disorganisation ya hali ya juu! Kama mambo ya msingi ya public kama haya janafanyiwa mzaha na kuonekana ya kawaida, then mambo ya kiutendaji ya humo ndani ya Ikulu yatakua yanaendaje?
 
Kamahakuhutubia nikwanini na kama alihutubia,alizungumza nini? Naomba kujuzwa maana niliko nivigumu kupata habari wakuu!
 
Kamahakuhutubia nikwanini na kama alihutubia,alizungumza nini? Naomba kujuzwa maana niliko nivigumu kupata habari wakuu!
pole sana hakukuwa na aina yoyote ya hotuba watu tulikaa mpaka saa 6 usiku tukisubiri kidogo ndoa zivunjike

" weee hotuba gani unayo isubiri nuda wote huuuuu, au ana lako jambo "
 
Amechoka kazi ni mdhaifu hana budi kuachia madaraka

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ile barua ya wale jamaa imemchosha sana bado anafikiria ajibu nn!
 
Kwa habari/ taarifa nlizozipata ni kuwa atahutubia leo kupitia vyombo mbalimbali vya habari.

Tusuburi tuone nn cha maana atakachokuja kutueleza
 
Jamani wadau mmekwisha sema mkulu dhaifu kachoka jamani mumuonee huruma hali dhaidi,nguvu dhaidi na kasi dhaidi pamoja tunasonga mbele.
 
Kapumzika kwenye ile meli ya iran hataki kuongea na mtu kwa sasa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Si unajua changamoto ya Taifa kuhusu Mgomo....inawezekana suluhisho la kuwaambia Watanzania hamna.
 
My President Is Black... Ooops I meant to sing My Prez Is Dhai...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom