JK amegoma kuhutubia Wazee wa Dar?

Mpaka muda huu nadhani Rais wetu mpendwa bado yupo kaunta anaagiza mbili tatu. Akitoka hapo anazifunga magogoni, rais mlevi na we mlevi ngoma droo.
Kwani unategemea nini cha maana kutoka kwa kiongozi dhaifu?

inabidi ninywe za kutosha haraka haraka kabla hazijapanda bei.....
 
Tuka nipate taarifa kupitia vyombo vya habari kama ITV kuwa Rais atahutubia Taifa leo hadi muda huu yupo kimya na hakuna taarifa zozote. Je huu si ubabaishaji mwingine? kwa watanzania kudanganywa na Rais au waliotoa taarifa hizi hawakuwa na taarifa kamili?
Au lengo ni taarifa zitolewe usiku Watanzania wengi wakiwa wamelala?

...Labda ugonjwa wake wa kuanguka umeshamrudia na kama ujuavyo hii Serikali yenye sirikali haiwezi kutia neno kama Rais kaanguka tena kule nanihii.
 
Taarifa za ndani nilizozipata sasa ni kuwa rais hataweza kuhutubia tena taifa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake.
*TBC1 sasa imeamua kutuburudisha na miziki ya bongo flavour mpaka asubuhi!!
*Binafsi imekula kwangu nimekaa muda wote kusubiri bila mafanikio,watanzania wote nawashauri tukalale au tuendelee na mambo mengine.
 
He! wakuu nilidhani niko peke yangu nasubiri kusikia dhaifu atazungumza nini kumbe tuko wengi,sasa sijui nae kagoma,au ndo hivyo tena kwamba hotuba yake imeoneka itakuwa na mapokea -ve kwa taifa na hivyo ameahirisha?
for ametupotezea muda sana na hii ni kwa vile walitutaarifu
 
Hivi Tanzania ina mikoa mingapi? Kwa nini anahtubia wazee wa Dar tu?
Anaogopa nini kwenda Morogoro, Arusha, Mwanza, Kigoma n.k. kuhutubia wazee wa huko pia?
 
Hivi Tanzania ina mikoa mingapi? Kwa nini anahtubia wazee wa Dar tu?
Anaogopa nini kwenda Morogoro, Arusha, Mwanza, Kigoma n.k. kuhutubia wazee wa huko pia?

labda Morogoro na baadhi ya maeneo ya Kigoma....chezeya Chugga na Rock City.....
 
Sasa ni saa sita kasoro robo bado tuvumilie mkuu au ndo basi?

Labda amechelewa kupiga mikasi, si unamjua mkulu tena wamo kwa mambo ya mikasi? Kuna jamaa yangu anaishi California ananiambia mkulu alikwenda CA sometimes back kukutana na wabongo, loh ilipangwa aanze kuongea nao saa 12 jioni, akachelewa akaibuka sita za usiku-mambo ya mikasi lolh
 
Mi naenda kulala kesho ni siku ya ibada isijekuwa ni mpango wa ikulu wa kutuvurugia ibada!
 
Back
Top Bottom