JK amegoma kuhutubia Wazee wa Dar?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Tuka nipate taarifa kupitia vyombo vya habari kama ITV kuwa Rais atahutubia Taifa leo hadi muda huu yupo kimya na hakuna taarifa zozote. Je huu si ubabaishaji mwingine? kwa watanzania kudanganywa na Rais au waliotoa taarifa hizi hawakuwa na taarifa kamili?
Au lengo ni taarifa zitolewe usiku Watanzania wengi wakiwa wamelala?
 
Hii nchi sasa inazidi kuzama hadi mambo muhimu watu wanayafanyia mchezo? Swala la Rais kuhutubia Taifa kwanini Ikulu watoe taarifa kwa nyombo vya habari na kukaa kimya hadi muda huu? Udhaifu mwingine huu
 
Kesho utasikia kuwa alichotaka kuzungumza kipo mahakamani. Hata Pinda alisema serikali itatoa tamko, kesho yake akasema hawezi kuzungumzia suala lililopo mahakamani
 
  • Thanks
Reactions: RC.
Hii nchi sasa inazidi kuzama hadi mambo muhimu watu wanayafanyia mchezo? Swala la Rais kuhutubia Taifa kwanini Ikulu watoe taarifa kwa nyombo vya habari na kukaa kimya hadi muda huu? Udhaifu mwingine huu

mkuu vumilia kusubiri, labda atahutubia kuanzia saa nane usiku huu
 
Wazee wa Dar muda huu washalala wote --umri. sasa sijui atahutubia kina nani.
 
Jamani, mvumilieni! Inabidi ajenge hoja kwelikweli, kwani uongouongo sasa hautakiwi. Inabid atoe majibu kwa mambo yanayolisibu Taifa kwa sasa.
 
si nitakuwa nshalewa muda huo....nitamuelewa kweli.....hooi leo.....

Mpaka muda huu nadhani Rais wetu mpendwa bado yupo kaunta anaagiza mbili tatu. Akitoka hapo anazifunga magogoni, rais mlevi na we mlevi ngoma droo.
Kwani unategemea nini cha maana kutoka kwa kiongozi dhaifu?
 
ngoja niendelee mpaka saa sita na dk moja kwani itakuwa siku nyingine hiyo si leo
 
Back
Top Bottom