JK amedidimiza Uchumi: World Bank

Yaani kipindi cha kufanya kazi kwa mambo ya CCm kama miaka2 hivi mwaka wa tatu ndio utekelezaji wake, na sio miaka 5, hivyo mpaka sasa hivi CCM wamefulia ndugu zangu
 
Nafikri umefika mda watu wasiangalie chama cha mgombea waangalie sifa binafsi za mgombea.Nina hakika kabisa huyu jamaa akipitishwa kimazoea tutegemee maumivu zaidi.Kuna watu wana mawazo kuwa JK akiingia kipindi cha pili atawashughulikia mafisadi eti kwa wakati huo atakuwa hahitaji msaada wao.Mawazo haya nayaita potofu,kwa sababu akipita hatahitaji tena kujikomba kwa wapiga kura atakuwa anamalizia tu mda wake hataki alaumiwe na wapambe kuwa aliwatosa.Mfano mzuri Bingu wa Mtalika wa Malawi alianza straight kushughulikia ufisadi pale alipoanza Urais wake.Alipoona chama cha UDF kinamkwaza,akatumia msemo wa Mwalimu kuwa CCM sio baba wala mama yake kwa sababu kimeacha kusimamia sera zake na kunufaisha wachache.
Kutokana na mfano huu,Rais wetu hana nia ya dhati ya kushughulikia kukomesha ufisadi badala yake anamtumia Waziri Mkuu Pinda kuwapozesha watu kwa nafuu za mda mfupi.Hataki kumeza vidonge vichungu kumaliza malaria!
 
Let us see this issue at a very far angle, whereby Mr. Lowasa and JK were partners to get the presidency and have a control of this country. These two were partners in an emotional alliance; and they knew that they had different abilities. Mr. Kikwete was acceptable to the mass; but the architect [of governing] was Mr. Lowassa. By kicking Lowassa out of the government, you're taking away the pillar and the backbone of the alliance. Mr. Kikwete by now has already lost control on everything including his focus; everything has gone away with Mr. Lowassa.

I don't see a bond between Pinda (the PM) and Mr. Kikwete, they are different people and Mr. Pinda [a YES Guy to Mr. Kikwete] is giving comfort to Mr. Kikwete who have succeeded to consolidate power on the abscence of Mr. Lowassa. By giving more 5 years to this pair [Kikwete Pinda], is like a suicide for this nation. These two guys are real a big problem for all of us. We should not allow them to have the next few years; remember that 10 years is another generation; are we serious?
 
Ha ha ha ha aaaa!!!!!!!!!!!!!! Hii ndiyo Bongo bwana!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu jamaa miaka 5 yake inamtosha tumepata maumivu ya kutosha katika kipindi hiki kidogo sana
 
Sasa anazunguka kama Vasco Dagama tu, maana hata akisema kuwa alifanya nini miaka yote hiyo mitano 5 siwezi kusema na kutafuta au kufungua chuo cha Dodoma tu au kuna jingine

Heri na Vasco Da Gama ndugu yangu kwani aligundua baadhi ya mambo ndani ya hii nchi..!!

Huyu bwana tuli mweleza tokea mwanzo, wazungu wana mcheka..! Tena kwa taarifa yake huyu bwana kama mnavyosema anapendwa na watu itakuwa ni baadhi ya wale wasio elewa ujinga unaoendelea ,

Kuna mzungu aliuliza kwanini Rais wenu ana kwenda kuomba misaada Ulaya na kujitangaza kwamba Tanzania inafaa kuwekeza akiwa na jopo la mawaziri na wafanyabiashara wakubwa ambao hao hao ni mafisadi na ambao wanakula pa diem ya nchi kwa kila safari ?

Kwanini asikae chini akajaribu kubuni njia m`badala yakuweza kuinua uchumi wa Tanzania ?

Kama kilimo kimekataa kutokana na uhaba wa mvua basi,tujaribuni kwenye viwanda..ambavyo havitakuwa vya kifisadi.

Kama tutaendelea na hali hii watanzania wenzetu wa Burundi watakuja kutuacha mbali sana .

Na wazungu wamesha ondoa ile imani na Rais wetu..HAWAMWAMINI TENA..!!! wamegundua hela yao ya Misaada wanatia mifukoni ..Na sio siri hata yeye mwenye anajua keshaambiwa kwamba hata pata misaada kama hata weza kuweka mikakati ya ku control hela za misaada..!

Jasho sasa lina mtoka ndio anajaribu kubuni njia za kubana na kuwaondolea misamaha waumini wa makanisani na waislamu pamoja na NGO´s..It will help nothing..! Umepiga kichwa jiwe mkulu...!
 
Sasa yeye mwenyewe ni Mchumi, sisi tulitegemea akifikiri kama Economist lakini inakuwa kinyume chake na sisi huwa hatujui kama kweli kuna washauri wa uchumi wa Rais, naombeni jina lake kama kuna mtu anajulikana

Yeye ni mwana diplomasia bwana si mchumi, ndio maana anasafiri sana kwenda ulaya maana hamuamini waziri wake wa mambo ya nje. Membe ni waziri kivuli wa mambo ya nje.
Nadhani kaiga kwa BWM ambaye naye safari zake nje zilikuwa haziishi wakati wazir wake kivuli JMK alikuwa yupo yupo tu.
 
BTW.....tokea mwanzo hakuna mwelekeo na hadi sasa hakuna mwelekeo......huwezi kuendelea kulea madudu yale yale siku zote halafu utegemee majibu tofauti.......wala hatukuhitaji huyo bwana wa WB aje atueleze...........things are so obvious!
 
Back
Top Bottom