MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Hapa naomba nitumie mfano wa kimichezo. Kwenye timu yoyote mchezaji muhimu si yule tu ambae akiwa uwanjani timu huchezi vizuri bali pia ni yula ambae kama asipo kuwa dimbani unaona timu haichezi kama kawaida.
In short kwa sasa naanza kuona kama vile JK ana kosa umuhimu. Akiwa uwanjani timu haichezi vizuri na hata aki kosekana dimbani haionyeshi kubadilisha chochote kwenye timu.
Sasa katika hali ya kawaida mchezaji aliekuwa kiungo muhimu ana bidi aamue kustaafu au kuji kuta aki poteza kabisa heshima aliyo jijengea na kuji kuta mwisho wa kucheza ukifika hamna anaemkumbuka.
Kwa hali ya sasa ninge sana JK afanye mustakabali wake wa umuhimu wake katika siasa za Tanzania. Je ana taka kukumbukwa kwa heshima (japo kidogo) aliyo bakiza? Au ana taka ifike kipindi tumsahau kabisa.
Kama ataamua kubaki (historia ya viongozi wa Afrika inaonyesha ata amua kubaki) basi inabidi afanye mazoezi ya ziada kuhakikisha kiwango kina panda (kama kili wahi kuwepo). Asije akawa kama kaka etu Beckham ambe anauza sura kwenye vyombo vya habari lakini uwanjani wote tuna fahamu hakuna kitu kilicho baki (samahani mashabiki wa Becks).