JK aliingia kwa gia ya shehe yahaya; EL anataka kuingia kwa gia ya loliondo

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
wenye akili zetu tunaelewa sana mazingaombwe yanayochezwa so far. mazingaombwe haya yamepata hata wapiga debe. magazeti ya mtanzania na jambo leo ndo yamekuwa watoa taarifa wa kila kinachoendelea kwa babu.

tunasubiri siku tutakapoanza kupigwa changa la macho kwamba wote waliokunywa kikombe cha babu na kurejea salama makwao hawataonja mauti.

yote haya kutafuta urais wa nchi. nchi ya wadanganyika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom