JK alihamisha watoto wake St. Patric school Arusha baada ya uchaguzi 2010

kwa kuwa amejiridhisha kuwa hali ya arusha kwa sasa ni shwari ,nategemea vijana watarudi kwenye shule waipendayo ya st patrick.
 
Daaaaaah ! Yaaani kama kwa bomu la juzi tunakamata kininja katoto kake kamoja na Alafu tunatoa Tangazo tutafutie alielipua bomu na kupiga risasi na sisi tukupe mwanao....

Angekufa kwa Presha !
 
Daaaaaah ! Yaaani kama kwa bomu la juzi tunakamata kininja katoto kake kamoja na Alafu tunatoa Tangazo tutafutie alielipua bomu na kupiga risasi na sisi tukupe mwanao....

Angekufa kwa Presha !

Sababu ya kuanguka mtihani wa O'level Mwanaasha kumbe alimhamisha toka shule nzuri na sijui alimhamishia shule gani iliyonfanya aangukie pua.
 
Back
Top Bottom