JK alihamisha watoto wake St. Patric school Arusha baada ya uchaguzi 2010

Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?

Umefulia mkuu maruweruwe ya dhambi ya ufisadi yanakutesa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Crashwise @work big up....

mkuu itakuwa ujinga kutetea kitu chauongo wakati ukweli unaujua..trust st patrick ni kati ya shule bora kitafa na wanajua elimu hawawezi kulalamika eti watoto wanafanyishwa kazi..kama watoto wako hutaki wafanye kazi wapeleke jaffary huko watoto ni waheshimi na mwalimu yuko anamnyenyekea dent au st contantine..
 
Mbumbumbu tu huyu hana japo tone la hekima na busara!
Mbona Nyerere wakati wa vita ya kagera hakuwaficha nje wanae? Tena wengine alikubali waende front line kwenye vita!

Kama Rais kawatoa wanae ktk hiyo shule kinachowauma nyie nini? mnataja habari za ufisadi mara mbumbumbu mara hivi na vile! mbona mnakuwa wavivu wa kufikiri nyie?
 
Mkikosa cha kuandika huwa mnakurupuka ili mradi tu muonekane mmeandika? mnanini nyinyi?
kwani ni uongo!hana kid aliyekuwa st.Patric Arusha???
JK NAMPONGEZA KWA KUICHINJA KADHI na kusomesha watoto ST.schools ingawa kawaondoa Arusha
 
Anao uhuru wa kumpeleka mwanae kokote, lakini kama rais anatakiwa kuwa mzalendo kwa kuwasomesha wanae hapa TZ.Uzalendo ni moja ya swala muhimu sana kuhusu maendeleo ya taifa lolote.
 
Huko malawi kawapeleka shule za international school eh?ndo mambo ya shekeli!wa kwako wanasoma shule za wapi?kamtoe kule bakwata weweeeeee.....
 
Kama Rais kawatoa wanae ktk hiyo shule kinachowauma nyie nini? mnataja habari za ufisadi mara mbumbumbu mara hivi na vile! mbona mnakuwa wavivu wa kufikiri nyie?
kweli shule za kata zitabaki kua za wapiga kura wa magamba, inamaana hakuna hat mtoto mmoja wa mafisadi anae soma kwenye yale magodown?acha ****** n wezi wenzake wapeleke watoto zao kusoma nje ya nchi.
 
Anao uhuru wa kumpeleka mwanae kokote, lakini kama rais anatakiwa kuwa mzalendo kwa kuwasomesha wanae hapa TZ.Uzalendo ni moja ya swala muhimu sana kuhusu maendeleo ya taifa lolote.
Kuonyesha uzalendo zaidi angewapeleka shule za kata.
 
Hivi Prezdaa ana watoto ambao bado wanasoma Primary Skul na Chekechea?.,kweli jasiri haachi asili
 
Halafu angepeleka shule moja ya kata iliyoko post na pale jirani inaitwa NGATEU SEC SCHOOL ndiyo tungejisikia mkuu katenda haki.
 
Mimi naoa kawaida tu kwa mtu yoyote kuhamisha watoto au ndugu yake kama halidhiki na maendeleo au kwa sababu yoyote ile. Suala la usalama wa wanae ni la muhimu kama anahisi hivyo kwani wale wanae siyo viongozi mpaka wastahili ulinzi kama viongozi.
 
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?

Irrelevant Material, Kuwa na mawazo binafsi utatumika kama karai mpaka lini?
 
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?

Bora igawanywe ili CDM tukae kivyetu wanaotaka CCm waenda nao watawaliwe nao milele
 
Back
Top Bottom