Jk: Akutukanaye hakuchagulii tusi

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wadau wakati wa maadhimisho ya miaka 34 ya ccm ktk hotuba yake nilimsikia JK akisema eti kwamba watu wanayesema anahusika na Dowans akutukanae hakuchaguli tusi,eti kwake kuambiwa anahusika na Dowans katukanwa. Pia hujui wenye Dowans. Jamani kama hajui wenye Dowans amepoteza uhali wa kuwa rais maana issue serious kama hii angetumia vyombo vyake kuchunguza. Hivi wadau ni nani anamshauri rais adi aseme maneno ya mtaani kwenye issue serious.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom