JK akimpa zawadi ya kinyago Kaka baada ya mechi ya jana...

Huyu mtu hivi ashauriki au ni ubishi wake tu? si tulimwambia kipindi kile alivyowapa zawadi Drogba na kina Kolo kwamba hio style sio uungwana kwani wachezaji wote waliokuja wana wakilisha timu ya taifa na nikuwavunjia heshima wengine unapowatenga.

Yeye ni raisi sasa hizi zawadi anavyozibagua inaonesha katoa zawadi kiushabiki wake binafsi.Angewapa vinyago wachezaji wote hao wakaweke nyumbani kwao hili marafiki zao wanapokuja waweze kuitangaza nchi kwa kusema "kinyago nimepewa Tanzania" sasa kaenda kumpa KAKA tu.
 
Huyu jamaa mpaka saa hizi anashikiliwa na Polisi kwa kumkumbatia kaka.
 

Attachments

  • image002.jpg
    image002.jpg
    21.6 KB · Views: 51
Ni kweli Ubungox2
Bora tumeiona Brazil kwa hizo Bil 3 hata kama zingekuwa Bil 7 pouwa tu kwani mafisadi wanakula ngapi bana na tumekaa kimya tu na tunawapigia kura tena. Ileteni na Arsenal kama inawezekana
Hivi zilitolewa Bil 3 tu? maana sina imani kabisa na wabongo watu wanaweza kujenga magorofa kwa ujio wa Brazil tu mnasikia bil 3 kumbe zimepigwa bil 5...Tanzania ni uvundo tu!!
 
Back
Top Bottom