JK akikagua vijisenti vya sie walalahoi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
GO9G4590.JPG

Anaonekana akiwaza " Duh aisee pesa zikiisha shurti u-print zingine, maisha bora kwa kila Mtanzania..."
 
Hana dili yeye na makaratasi yake...Ananikumbusha Mugabe alitengeneza hela,hadi sasa ameishia kutumia dola za Marekani utazani na Zimbabwe ni jimbo la USA.
 
mafeki yapo kibao mpaka bank wanatoa eti hawana mashine ya kugundua noti feki
 
Hivi serikali inaona ugumu gani kuondoa hizo noti kwenye mzunguko kama kweli zina matatizo?

Pia mabenki na wananchi kwani nini wanaendelea kuzitumia kama zina matatizo?

Watu wagome kuzitumia.
 
Back
Top Bottom