JK akihojiwa CNN--" Dynamic leader, dynamic country "....Toa maoni yako

Mkuu;

Huku bongo ni kazi kidogo kufanya video streaming. Bandwidth zetu za shida. Ni ghali na ziko slow.

Si vibaya kama ukituwekea text kama ipo.
 
interview imekatwa-katwa, inaonekana walikuwa wanamuuliza maswali wapate majibu watakayo wao. Pia wameweka sehemu wapendazo wao na kutoa maoni yao mengi badala ya kuacha tumsikilize na kutoa maoni yetu.
 
Alipoulizwa kuhusu walichoongea na Obama kuhusu PEPFAR, our dear Prezidaa sijui kama alielewa swali au la, akaanza kuleta story ndeefu kuhusu walivyopima yeye na mkewe na kusema there was success, na kusema Obama will continue to support the fight against HIV-AIDS. I don't know who is the gullible here, but in actual sense, Huseni is proposing to cut the funds for global war on AIDS by 6.6 Billion USD.

Checked
 
I have lowered my expectations so much from any Kikwete interview, not expecting even
presidential diction let alone vision, to the extent that this interview, with all it's shortcomings, by just lacking a major gaffe - although Kikwete appears not to understand in depth some of the questions- seems allright and in fact a big improvement by Kikwete's standards.

Although no one can honestly say he murder-macheted the issues.This is clearly a "gentleman's degree" president.
 
What do you expect from Kikwete!!!!

I keep hoping that he's going to get better with time, learn from previous mistakes and do his home work, get some basic facts straightened out in his head. But then again, you need to recognise a problem before you try to correct it.
It seems like not everything is like good wine ie gets better with time
 
Halafu amesema anajenga nyumba kijijini kwake kulipizia maisha yake magumu ya utotoni na babu yake. Sasa wazee mnaweza unganisha hii na ile habari ya mahekalu ya mkulu dia prezidaa kwenye ile thread mliyotuletea hadi mapicha ya Google Earth..lol
 
I keep hoping that he's going to get better with time, learn from previous mistakes and do his home work, get some basic facts straightened out in his head. But then again, you need to recognise a problem before you try to correct it.
It seems like not everything is like good wine ie gets better with time

Yeleewiii,...........yaani Nkamangi umesahau kuwa JK alikuwa Foreign Minister for about 10 years.........where else could he improve whetever issues is talking about............mburah!
 
I know, but after becoming president of the URT I expected him to put more effort in pulling his sox up. I am an optimistic person but I'm giving up on this one
 
I know, but after becoming president of the URT I expected him to put more effort in pulling his sox up. I am an optimistic person but I'm giving up on this one

unafananisha na nani? Obama? au siee tunatumia english by the way nafikiri tusilaumiane sanaaaa, watuhoji kiswahili waone. hivi mmeshaona mf. wachina na wajapani wakijibu maswali ya kingereza? hata baadhi ya waafrika wenzetu?
 
jus compare this interview and that of the new ghanaian president...commercial awareness with regard to the economic crisis and the direction ya ghana on cocoa and gold production, confidence za ajabu sana nimeona from that guy but kikwete..he is not selling himself or ourcountry as he should...i think kikwete can express himself in swahili better...(hajaongelea migodi, tourism, hajatusifia tanzania kwa amani) kwanini asiongee kiswahili...mbona raisi wa france full time french! it doesnt matter what language he uses as long as the message is sent across.
I jus laughed when he made reference to the United States of Africa (ndo africa hii hii yakina mugabe, gadaffi, bashir na wale dictactor for life wa west africa (equitorial new guinea and the like), africa hii ya kenya v uganda over migingo island?
If anything kikwete angeongelea tanzania and tanzania only!
 
unafananisha na nani? Obama? au siee tunatumia english by the way nafikiri tusilaumiane sanaaaa, watuhoji kiswahili waone. hivi mmeshaona mf. wachina na wajapani wakijibu maswali ya kingereza? hata baadhi ya waafrika wenzetu?

Hatuwezi kujilinganisha na wachina au wajapani, wanaweza kusimama wenyewe na lugha zao. Hiyo jeuri sisi bado sana. Kwa hiyo lazima kuijua lugha ya malkia tupende tusipende
 
unafananisha na nani? Obama? au siee tunatumia english by the way nafikiri tusilaumiane sanaaaa, watuhoji kiswahili waone. hivi mmeshaona mf. wachina na wajapani wakijibu maswali ya kingereza? hata baadhi ya waafrika wenzetu?

Kuhusu hao baadhi ya waafrika wenzetu kweli itabidi niombe ushahidi.
Hao wengine wajepu,wachainiz na hata waarabu hawaendi huko kwa minajili ya kutembeza bakuli...Huwezi kuwa omba omba halafu unayemuomba umsumbue kukutafutia watafsiri,tumekubali kuwa na viongozi wenye mwelekeo huo na hivyo hatuwezi kujifanya eti tuko huru...Mkuu hatuko huru,kuanzia kiongozi mkuu wa kaya ambaye yeye ni mtumwa wetu mkuu na unafuu wake mwenyewe ni benefits zaidi kama kusafiri na kukutana na mabwana wakubwa wanaotu own,ndo ukweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom