Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Mh. Raisi! Habari ya siku tele? Nimeona nikukumbushe, hivi zile ajira ulishatengeneza au bado tusubiri kidogo? UVCCM hawatakuuliza wala hawatakusaidia kuzungumzia kwa vijana wenzao ambao hawana ajira. Kwao ni rahisi kushutumu na kulalamikia mambo kuongelewa nje ya vikao. Ni watu wajinga sana. Usiwasikilize kwani matatizo ya vijana hayawahusu na hayawakeri. Ukipata nafasi tujulishe tufanyeje, kama tuendelee kusubiri au tuangalie ustaarabu mwingine tuache kukuchosha. Tunajua una mambo mengi Mheshimiwa Rais.