Jk afikishwe mahakamani mara moja.

Status
Not open for further replies.

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Hivi kweli Kikwete anavunja
maudhui ya katiba akiwa na
macho makavu!! Mawaziri kwa
mujibu wa katiba, I stand 2 b
corrected, lazima watokane na
wabunge. Na ili utambuliwe
kama
Mbunge lazima uwe umeapishwa
na Speaker. Kikwete yupo juu ya
Katiba. Anateuwa mbunge na
papo hapo anamteuwa kuwa
waziri, maana ni kwamba kampa
mtu uwaziri kabla hajawa
mbunge! Tujadili
Chini ya ibara 55 (4 ) kuhusu
Uteuzi wa Mawaziri inasema
Mawaziri na Naibu Mawaziri
wote watateuliwa kutoka
miongoni mwa Wabunge,
ibara 68 inasema 68. Kila
Mbunge atatakiwa kuapishwa
katika Bunge kiapo cha uaminifu
kabla hajaanza kushiriki katika
shughuli za Bunge; lakini
Mbunge aweza kushiriki katika
uchaguzi wa Spika hata kabla
hajaapishwa.


Majibu ya Naibu Spika, Job
Ndugai:
Hata hivyo taarifa ya Ikulu
haikusema wabunge hao
wateule wataapishwa lini na
wapi, lakini Naibu Spika wa
Bunge, Job Ndugai alipoulizwa
jana alisema alisema kwa mujibu
wa Kanuni za Kudumu za Bunge,
mtu yeyote anayeteuliwa kuwa
mbunge, ataapishwa katika
mkutano wa Bunge unaofuata
baada ya uteuzi wake, bila kujali
ni mbunge wa kuteuliwa au wa
jimbo.
Ndugai alisema kwa msingi huo,
wabunge hao wateule
wataapishwa wakati wa
Mkutano wa Nane wa Bunge la
Bajeti unaotarajiwa kuanza mjini
Dodoma, Juni 12.
Alipoulizwa itakuwaje ikitokea
wateule hao wa Rais
wakateuliwa pia kuwa mawaziri
na kuendelea na kazi kabla ya
kuapishwa kuwa wabunge,
Naibu Spika alisema kwa hali ya
kawaida, hilo haliwezekani.
“Kwa mujibu wa Katiba,
mawaziri watateuliwa kutoka
miongoni mwa wabunge, na
anakuwa mbunge mteule hadi
pale anapoapishwa, na ndiyo
maana baada ya kumalizika kwa
Uchaguzi Mkuu, kazi ya kwanza
ya Bunge ni kuchagua Spika na
Naibu Spika, ambao baadaye
watafanya kazi ya kuwaapisha
wabunge, na ndipo atateuliwa
Waziri Mkuu na kisha mawaziri,”
alifafanua Naibu Spika
Source: http://
www.habarileo.co.tz/kitaifa/?
n=29712
 
mkuu hata kama una copy na ku paste! jitahidi kuiweka vizuri...
 
Kwa katiba hii ukimpeleka mahakamani yeye ndiye atakaye kuwa mwamuzi. Mshtakiwa yeye, mwamuzi yeye!
 
Huyu jamaa nikifaruhande. Hufanya jambo bila fikra za kutosha. Hakupaswa kutuongoza hata kidogo.
 
hii thread iunganishwe na nyingine ili zichangiwe kwa pamoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom