Elections 2010 JK aende wapi baada ya October 31?

MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,166
166
Najua kashashindwa japo yeye na vijana wake wanajaribu kutapatapa.
Anajua hafai, kwamba kashindwa jumla, katafuata mabilioni aliyospent lakini hajui nanii kala.
Angekuwa muwazi na anajua wapi aende baada ya tarehe hiyo angemwachia tu Dr. Slaa aendelee.

Mimi nafikiria sehemu gani aende maana si kawaida kuondoka kabla ya miaka 10, nayeye ndo wa kwanza,

Tumsaidie kwa maoni aende wapi ndugu yetu handsome?
 
Mkuu Mtwa

Baada ya October 31, Kikwete hana pa kwenda zaidi ya Ikulu, Magogoni Dar es Salaam. Ataingia kwa ushindi wa pengine wa 50 au zaidi.
Kama huamini, move around the country kwa masharti ya kutumia barabara za vumbi uongee na wananchi ujue ukweli. Vigelegele ya JF sio halisi. Tukutane hapa jumatano ya wiki ijayo (3rd November) kwa mrejesho.
 
Atulie ikuru na kuanza kazi ya kukamilisha yale yote aliyoyanza kwa kasi mpya zaidi na ari mpya zaiidi !
 
Atulie ikuru na kuanza kazi ya kukamilisha yale yote aliyoyanza kwa kasi mpya zaidi na ari mpya zaiidi !
Thubutu yake! hapo tu anaombea tu aliowahonga wasikosee
Mda wote anawaombea akina makamba wajitahidi,
hana uhakika lakini nishaona Njia ya magogoni ishaota nyasi
 
akauze mkaa kandokando ya bara bara ya chalinze mana ndo shughuli za watu wa eneo lake
 
akauze mkaa kandokando ya bara bara ya chalinze mana ndo shughuli za watu wa eneo lake

Hilo linawezekana maana anaweza kuwa yeye ni Tajiri wa mkaa akawatuma vijana wake
 
Originally Posted by mtwa
una maana kashaiba vya kutosha?


Sina maaana hiyo!
 
Hapa....Msoga

jk.jpg
 
Ni kweli Pale msoga ashajenga sana kakijiji kabisa.
Jjamaa lakini ni jinias kwa kiwango fulani maana alishajiandaa kama alijua vile kuwa yake ni hiyo tu aliyobahatisha
 
Yaani hii ni dharau kubwa sana, tena nadhani ni moja kati ya vitu vitakavyomtafuna. Kwani hao watanzania wote anaowategemea kwa kura wanazo hizi Gum boot, na kama hawana, mbona yeye kavaa.
Inaonesha jinsi ambavyo hafai kuwa kiongozi wa Tanzania.
hata Bush mwenyewe aliingia umasaini bila hivyo sembuse yeye!
 
Tutamweka kwenye national museums au national archives!

hapana mimi naona atatuchafulia bure, kwa msoga ni pazuri maana ndo anaweza kupazoea vizuri zaidi
Au kama museum basi iwe ya peke yake!
 
Wee yule alikuwa mkulu bwn! Nimepata tetesi kuwa dr.SLAA amemwombea postgraduate ya Finance pale IFM tarehe5 november anaanza lecture,si unajua ana pass ya bachela udsm,baadae ataenda masters ya Economics, scholarship iko tayari kwenye open university moja Swazland au Iran,akihitimu basi mana p.h.d ameshapewa kwenyd gift paper, afu baadae atarudi kuisaidia Chadema kutimiza kipau mbele cha pili kukuza uchumi baada ya elimu. Ni mtu muhimu sana ww!
 
Back
Top Bottom