JK aenda Uingereza kikazi

Safari hazina uzito unaolingana kwa faida au hasara yake kwa taifa. hakuna anayetueleza Jk kaenda Uk kufanya nini na tunategemea nini ili mizania yetu iwe ya haki.
 
Bado naamini safari za Jk zina faida tatizo ni taarifa kwa wananchi kueleza faida zake. Jk hawezi kuwa mjinga kiasi hicho kama angekuwa anapata hasara.

Tumekuwa tunaangalia zaidi matumizi ya safari hizo kuliko mapato yanayopatikana. Kuna gap kati ya taarifa ya matumizi na mapato kwenda kwa wananchi. Hii ni kazi ya watendaji kutupa taarifa hizi. Taarifa hizi si mali ya Ikulu ni mali yetu. Hili ni fumbo kama litawekwa wazi wengi tutashangaa.
 
Ni matumaini yangu sasa kwamba tutaingia awamu ya pili ya kujenga hoja kwenye thread hii. Bado sijaona tofauti ya anayelalamikiwa (JK) na wanaotaka apunguze safari.

Hakuna ushauri wa maana zaidi ya kujaza post za kejeri.
 
Ninaposoma post za namna hii natamani Jk aendelee na safari. Post zimejaa siasa badala ya uchumi.
 
Du! kitakacho fanyika huko, mie sijui ila nawasiwasi kama mara atokapo huko hataanguka jukwaani, mungu saidia
 
s6989034.jpg
 
kabla hujapost thread/mada angalia kama kuna wenzako waliotangulia wameanzisha mada unayotaka kutuma..... ni moja ya kanuni ya JF kuepusha kuwa na thread za aina nyingi zinazofanana kama hii.

Ungekuwa Rais ungeharibu zaidi kwani unaonekana ungekuwa mvivu wa kusoma mafaili kabla hujaandika ushauri au maamuzi
 
Mfano David akimwambia Jk kuwa dawa ya kupiga mwereka ni hii ya ku cameroniwa jamaa atakataa kweli? I wish Jk atakuwa jasiri
 
JK safari zako hazilingani na outcome ya safari zako,
hao jamaa kila kukicha wahisani wanajikata sasa sijui ukienda huko unakutana mawdiwani wa london au?
 
Mhe. Cameron napenda kukufahamisha kuwa Tanzania hivi sasa inakabiliwa na tatizo kubwa la uchumi. Mapato na matumizi havilingani kabisa. Tunashindwa kulipa madeni ya watumishi, makandarasi na taasisi mbalimbali kwa wakati. Tunahitaji mtu atakayetusaidia kujikwamua hapa tulipo.

Ajabu wewe unamwalika rais wetu aje kusaidia kutatua matatizo ya Somalia. Kwa taarifa yako JK hajawahi kutembelea Somalia tangu azaliwe, na wana hana rafiki msomali.

Kama hututafuti ubaya unataka tukufanye nini Watanzania? Tafadhali mwache rais wetu mpendwa ashughulikie matatizo yetu. Kuna viongozi wengi sana duniani wanaoweza kukusaidia katika maswala ya Somalia.

Mhe. Cameron tuko chini ya miguu yako!
 
Mpe hi Malkia
Alafu usikose piga picha pale kwa mnara wa saa ili tujue kweli ulikuwa uko!
Sipati picha lundo la watu alio enda nao uko!

Mwambieni apite na pale Emirates stadium kuna sanamu mpya wa Thiery Henry angalau apige ka picha kamoja pale
 
Ni matumaini yangu sasa kwamba tutaingia awamu ya pili ya kujenga hoja kwenye thread hii. Bado sijaona tofauti ya anayelalamikiwa (JK) na wanaotaka apunguze safari.

Hakuna ushauri wa maana zaidi ya kujaza post za kejeri.

Huo ushauri tunampa nani? sisi wenyewe au JK?? nadhani wewe ni mgeni na serikali yetu. Huko huwa hamna kupokea ushauri. hata ukimpa Riz 1 mzee wake hasikilizi
 
Bado naamini safari za Jk zina faida tatizo ni taarifa kwa wananchi kueleza faida zake. Jk hawezi kuwa mjinga kiasi hicho kama angekuwa anapata hasara.

Tumekuwa tunaangalia zaidi matumizi ya safari hizo kuliko mapato yanayopatikana. Kuna gap kati ya taarifa ya matumizi na mapato kwenda kwa wananchi. Hii ni kazi ya watendaji kutupa taarifa hizi. Taarifa hizi si mali ya Ikulu ni mali yetu. Hili ni fumbo kama litawekwa wazi wengi tutashangaa.

Kwani mkuu unaishi jamaica? au ndo FOFOFO? Ukipewa report ya matumizi na mapato ya hizo ziara unaweza ukanywa sumu aliyopewa Mwakyembe. Mostly huwa ni kutafuta wawekezaji ambao ndo wanatuibia mali zetu kwa mikataba hewa.
Zaidi ya hapo ni kuomba misaada ambayo mwishowe tunaambiwa wanaume tuanze kuoana. Mkuu hebu rudi nchini nadhani Tanzania unayoizungumzia wewe ni ile ya Nyerere .
 
Hivi anafuata nini huko tena jamani!?? arghh i'm gonna be sick! kwa nini asitulie nyumbani??

Juzi amefanya kazi kubwa sana ya kuwagawia vijana mashine za kufyatua matofali, ngoja akapumzike kidogo.na amehudhuria misiba mfululizo hapa kati. kazi na dawa
 
amekwenda kunywa chai atarudi muda si mrefu kujiandaa kwa ajili ya chakula cha mchana.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom