Jk aelekeza nguvu zake jeshini

elimukwanza

Senior Member
Dec 27, 2010
168
23
Katika hali inayoonyesha kujihami zaidi na kutegemea nguvu za dola serikali ya Tanzania imeendelea kuboresha masilahi ya Askari Jeshi huku watumishi wengine na wananchi wakiwa hoi.Inaelezwa kuwa mwanajeshi analipwa House allowance 500,000 ambayo haijumuishi kwenye mshahara hivyo kwao hii hali ngumu ya maisha ni msamiati.Ni wazi kuwa Jk sasa kaona wananchi wamepoteza imani kabisa na serikali yake hivyo suluhisho ni kuwa karibu na jeshi. Hii ndiyo tatizo lkubwa la viongozi wa Africa kutegemea vyombo vya dola kwa gharama yeyote ile.just imagine walimu wanavyopata taabu vile huku wana kazi kubwa ya kutoa wataalam halafu serikali imeamua kupeleka keki ya Taifa jeshini why?
 
Sidhani kama hiyo ni kila mwanajeshi! Na those others ndiyo waleta mapinduzi haswaaaa!
 
Source? anyway sishangai kwani Jk anaogopa yanayoendelea nchi zingine. Anasahau Misri jeshi limekataa kuua wananchi na kumuacha Mubarak peke yake, nguvu ya umma itaamua hatma. Mabadiliko ni upepo yakija huwezi zuia kwa namna yoyote. Peoples power
 
Data jamani ni muhimu. Tuwe wapembuzi kuliko wachakachuaji wa taarifa, msatakabali wa nchi yetu uko mokononi mwa deep thinker. hivyo tujiridhishe na ukweli wa yale tunayopashana humu na tuwe kama kioo cha vizazi vijavyo.
 
Katika hali inayoonyesha kujihami zaidi na kutegemea nguvu za dola serikali ya Tanzania imeendelea kuboresha masilahi ya Askari Jeshi huku watumishi wengine na wananchi wakiwa hoi.Inaelezwa kuwa mwanajeshi analipwa House allowance 500,000 ambayo haijumuishi kwenye mshahara hivyo kwao hii hali ngumu ya maisha ni msamiati.Ni wazi kuwa Jk sasa kaona wananchi wamepoteza imani kabisa na serikali yake hivyo suluhisho ni kuwa karibu na jeshi. Hii ndiyo tatizo lkubwa la viongozi wa Africa kutegemea vyombo vya dola kwa gharama yeyote ile.just imagine walimu wanavyopata taabu vile huku wana kazi kubwa ya kutoa wataalam halafu serikali imeamua kupeleka keki ya Taifa jeshini why?

Sina uhakika na hicho kiwango cha 500,000 lakini pia hizi taarifa za wanajeshi kupata upendeleo maalum toka kwa serikali ya jk zimekuwa zikisikika tangu mwaka jana kuelekea uchaguzi mkuu.
Mi nilishangaa kusikia polisi wamekatwa baadhi ya posho za miezi ya 12 mwaka jana na mwezi wa kwanza mwaka huu. Kilichonishangaza zaidi ni majibu ya naibu waziri balozi kagasheki eti baraza la mawaziri liliamua kupunguza matumizi kwa kukata posho bila kuhusisha majeshi lakini hazina wakawakata polisi kwa sababu ya jazba. Nikajiuliza hiyo jazba mbona isiwaelekeze kukata posho za JWTZ na badala yake ikawaelekeza kukata posho za polisi?
 
si kweli huu ni uzushi na uchochezi bila sababu ya msingi,hakuna posho kama hiyo kwa wanajeshi kwani tunaishi nao uraiani na huwa tunaongea nao mengi,kwa mfano kwa askari polisi house allowance kwa wanaoishi uraiani tu ni 10% ya basic salary na mishahara ya polisi na jeshi haitofautianai sana!sasa hiyo 500,000 inatoka wapi? ina maana hao askari Jeshi wote wanalipwa mil.5 as basic salary!!!!!!!!
 
Hii ni hatari, anyway nguvu ya uma haitishiwi house allowance.
 
Maskin Jeykey!! Kwanin hujiamini?? Kiongozi mzuri ni yule anayekubarika na wananchi tena kwake hata bodgad hana kazi! Kama hapendwi hapendwi tu hata akijipendekeza kwa hao anaowadhan ndo wakombozi wake! Nadhan amesahau kuwa kukichafuka hata awe wapi hatokuwa na aman! Ni bora aanze kujipendekeza kwa wote!
 
Back
Top Bottom