JK adhihirisha kuwa na uwezo mdogo zaidi kuliko awamu zote zilizopita TZ

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Hivi nani Amiri jeshi mkuu kamati ya ccm,wazee wanaojiita wa mkoa wa dar au yeye na dhamana ya cheo chake?
Tafsiri yangu kukimbilia wazee wa DSM ama kamati kuu za chama zimsaidie kuamua hii inadhihisha pale hatuna Mtu,
Urais haujaribiwa kama huwezi kuwa decision maker kwa nini aliomba urais?
Spencer anaamini 10 years inakatika bila bila hakuna chochote,yes naamanisha ni free fall kwa aliyepitia fizikia. Hakuna ajuaye msimamo wa rais hivyo kuwachanganya hata mawaziri ndo maana kila waziri anajiendea aonavyo...

nimesikiliza redioni/tv hotuba za baba wa taifa, Niliona enzi za Mwinyi,Nimeshuhudia uimara wa serikali enzi za mkapa na nimeona madhaifu makubwa safari hii. kama ningekuwa Mo Ibrahim nawapima viongozi waliopata kuongoza Tz JK Nyerere 55% Mkapa 25%, Mwinyi 18% Kikwette 2%

JK adhihirisha kuwa na uwezo mdogo zaidi kuliko awamu zote zilizopita Tz
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom