JK acha kuwaendekeza hawa madaktari wanaogoma

Wabunge si mnawachagua wenyewe kwani mlilazimishwa kwenda kupanga mistari siku ya uchaguzi?
Maundumula nimekusoma mda sana wewe kijana nikakujua wewe ni mmja wa wale dhaifu tunaowapiga kura utasema na KJ TULIMCHAGUA ALISHINDA MWINGINE WAKACHAKACHUA MATOKEO HATA MOST WAWABUNGE WA CCM HAWAJAPITA KIHALALI NDIO SABABU KESI HAZIISHI Mark my word 2015 utawahesabu bungeni hao wa ccm leo 02/07/2012 15:18 pm
 
Last edited by a moderator:

nivea,

Naona unaleta Politics kwenye mambo ya msingi ya nchi. Hakika wewe huna tofauti na madaktari wanaogoma.
 
Hivi serikali gani itaendelea kuwakubalia kila kitu hawa wahuni? kama hawataki kazi kwa nini wasijiuzulu kisha wakatafute kazi zingine. wananchi wanakufa kwa sababu dakatari ambaye serikali imemsomesha kwa gharama kede kede anataka alipwe milioni 4 kwa mwezi pesa ambayo serikali haina.

hawa jamaa ni wahuni na nadhani bora wakawa treated as such

Nomba sana serikali iwafukuze kazi hawa jamaa ili tuendelee mbele.

ndio sasa njooni mnitukane lakini nishatoa maoni yangu JF style...

Hapo ulitaka ku refer tukio la Ulimboka nini????
 
nivea,

Naona unaleta Politics kwenye mambo ya msingi ya nchi. Hakika wewe huna tofauti na madaktari wanaogoma.
Maundumula WEWE SIUMESEMA TUMEWACHAGUAWENYEWE. NINAUNGA MKONO 200% HUU MGOMO WA MADACTARI MAANA NILISHAENDA HOSPITALI YA SERIKALI TENA MPYAKIGAMBONI VIJIBWENI DSM NIKATANDIKIWA GODORO CHINI NIKAAMBIWA NIKAE KWA MDA HAMNA VITANDA KUNA WATU WATARUUSIWA SAA TISA NA NILIKAA CHINI NA MTOTO WANGU MPAKA WAKATOKA MKUU Maundumula SISI WATU WACHINI TUNATESEKA SANAMPALE HOSPITALI HATA GLOVES HAMNA NA NI NEW HOSPITAL.KWELI HII NI SERIOUS ISSUE UKITAKA KUJUA NENDA TEMEKE ,M'NYAMALA UJIONEE NYIE WATOTO WAWAKUU HAMYAONI HAYA NDIO SABABU UNAPINGA KWANGUVU NA SIO AKIL NA TAFITI SISI HAYA MAMBO YAMETUKUTA ,KWELI MAMA MJAMZITO UNANUNUA HATA OXTOCIN ILE YAKUKAUSHA DAMU WAKATI WAKUJIFUNGUA ?KWELIKWELINA SERIKALI INATANGAZA HUDUMA ZAKUJIFUNGUA BURE WEWE Maundumula MWOGOPE MUNGU WEWE
 
Ni kweli, mtu mzima tena msomi, hatakiwi kulialia au kudeka katika dunia hii. Lazima upime na uwezo wa kiuchumi wa Taifa lako, ila tu wanasiasa na wenyewe wanajipangia malipo makubwa mno!! mpaka wanashawishi hata migomo iendeshwe.

Wanaolialia ni TUCTA na CWT, madaktari wanatenda, hawalii.
Na kwa vile adui wao ni DHAIFU, watashinda tu, so long as damu ya Jemedari Ulimboka imeshamwagika kwa ajili yao!
 
Maundumula WEWE SIUMESEMA TUMEWACHAGUAWENYEWE. NINAUNGA MKONO 200% HUU MGOMO WA MADACTARI MAANA NILISHAENDA HOSPITALI YA SERIKALI TENA MPYAKIGAMBONI VIJIBWENI DSM NIKATANDIKIWA GODORO CHINI NIKAAMBIWA NIKAE KWA MDA HAMNA VITANDA KUNA WATU WATARUUSIWA SAA TISA NA NILIKAA CHINI NA MTOTO WANGU MPAKA WAKATOKA MKUU Maundumula SISI WATU WACHINI TUNATESEKA SANAMPALE HOSPITALI HATA GLOVES HAMNA NA NI NEW HOSPITAL.KWELI HII NI SERIOUS ISSUE UKITAKA KUJUA NENDA TEMEKE ,M'NYAMALA UJIONEE NYIE WATOTO WAWAKUU HAMYAONI HAYA NDIO SABABU UNAPINGA KWANGUVU NA SIO AKIL NA TAFITI SISI HAYA MAMBO YAMETUKUTA ,KWELI MAMA MJAMZITO UNANUNUA HATA OXTOCIN ILE YAKUKAUSHA DAMU WAKATI WAKUJIFUNGUA ?KWELIKWELINA SERIKALI INATANGAZA HUDUMA ZAKUJIFUNGUA BURE WEWE Maundumula MWOGOPE MUNGU WEWE

nivea,

Madaktari wakilipwa 3.5M na allowance 10% ya mshahara ndio wagonjwa watapata magodoro na vitanda?

Hebu jiulize bilikuwaje wakasitisha ule mgomo wa kwanza kama kweli walikua wanatetea wagonjwa?
 
Shida serekali haina option .Kama ni kuwafukuza madactari waliogoma au ni kuleta wengine ambao hakuna
 
nivea,

Madaktari wakilipwa 3.5M na allowance 10% ya mshahara ndio wagonjwa watapata magodoro na vitanda?

Hebu jiulize bilikuwaje wakasitisha ule mgomo wa kwanza kama kweli walikua wanatetea wagonjwa?
MKUU Maundumula
IF YOU WANT TO PLAY THE GAME BOY BETTER LEARN TO PLAY IT RIGHT AT THE END WILL SEE WHO THE LOOSER ,KUNA NEW POST KULE NA WALE BINGWA WAMEGOMA BILA INTERNS NA REGISTRAS HAHAAH KATETEE NA KULE
 
Last edited by a moderator:
Hivi serikali gani itaendelea kuwakubalia kila kitu hawa wahuni? kama hawataki kazi kwa nini wasijiuzulu kisha wakatafute kazi zingine. wananchi wanakufa kwa sababu dakatari ambaye serikali imemsomesha kwa gharama kede kede anataka alipwe milioni 4 kwa mwezi pesa ambayo serikali haina.

hawa jamaa ni wahuni na nadhani bora wakawa treated as such

Nomba sana serikali iwafukuze kazi hawa jamaa ili tuendelee mbele.

ndio sasa njooni mnitukane lakini nishatoa maoni yangu JF style...

mwambie kuwa na madaktari bingwa nao wamegoma
 
Milioni 4 ni hela ndogo sana.Botswana hapo chini madr. wanakula dola 4000,tena wa kawaida tu.sembuse Tanzania yenye rasilimali kedekede?

Wabunge wanajilipa mil10,halafu wanapomaliza term moja wanajilipa karibia mil60,mbali na hiyo nilipata fununu toka CRDB kuwa mbunge akiisha apishwa tu, anakula loan ya 300mil.acha madr wagome,zikija kada nyingine nazo zigome mpaka tutakapo define upya base yetu ya mishahara.Wasiogoma ni wale ambao wana mianya ya wizi,kwa hiyo kwao haina shida.

Hainiingii akilini mtu unapata mshahara wa laki mbili,ukawa umejenga,umeoa ,watoto wakasoma shule nzuri,una gari kila siku unaweka mafuta na hujawahi hata kukopa.
 
MKUU Maundumula
IF YOU WANT TO PLAY THE GAME BOY BETTER LEARN TO PLAY IT RIGHT AT THE END WILL SEE WHO THE LOOSER ,KUNA NEW POST KULE NA WALE BINGWA WAMEGOMA BILA INTERNS NA REGISTRAS HAHAAH KATETEE NA KULE

Tofauti yangu mimi na wewe ni kwamba mimi silioni swala la kugoma madaktari kama swala la kufurahisha hata kidogo.
 
mimi nakubaliana na wazo la kutotumia pesa nyingi za walipa kodi wa nchi hii kulipana mishahara, that been the case.... tuangalie ni asilimia ngapi za za pesa za walipa kodi zinatumika kulipa mishahara ya mawaziri, wabunge makatibu wakuu, wakurugenzi n.k? Wachilia mbali mishahara..... vipi kuhusu posho??

Je, ni halali kwa makundi hayo kujipa asilimia kubwa ya pesa zetu watanzania kujipa gawiwo kubwa ili hali wakijua nchi hii kweli ni masikini?

Angalizo: Tunapolinganisha viwango vya mishahara vya madaktari, walimu, mainjinia,wanasheria n.k tusiishie hapo tuendelee mbele zaidi hadi kwa wabunge, mawaziri, watumishi wengine mfano, TRA,BOT nk. lets think outside the box. Mimi binafsi naendelea kuwa neutral lkn nakerwa na siasa za nchi hii kuendekeza siasa zisizo na tija, badala ya kujenga uchumi.
 
Hivi serikali gani itaendelea kuwakubalia kila kitu hawa wahuni? kama hawataki kazi kwa nini wasijiuzulu kisha wakatafute kazi zingine. wananchi wanakufa kwa sababu dakatari ambaye serikali imemsomesha kwa gharama kede kede anataka alipwe milioni 4 kwa mwezi pesa ambayo serikali haina.

hawa jamaa ni wahuni na nadhani bora wakawa treated as such

Nomba sana serikali iwafukuze kazi hawa jamaa ili tuendelee mbele.

ndio sasa njooni mnitukane lakini nishatoa maoni yangu JF style...

ni maoni yako ni haki yako, ila pia unaweza na ingefaa tu ukayatoa bila hata ya kutukana watu au bila hata kutoa lugha yenye kuudhi. Isipokuwa inaonyesha wazi kuwa ni maoni ya kishabiki.
Ushauri; Jiepushe sana na kushabikia vitu usivyovijua.
 
Tofauti yangu mimi na wewe ni kwamba mimi silioni swala la kugoma madaktari kama swala la kufurahisha hata kidogo.[/QU

Elimu ya bure: hakuna anayefurahia migomo, si mwajiri, si anayegoma na wala si mteja wa huduma husika. migomo ni sehemu ya mapambano ya haki, na haki historia inaonyesha haiji kirahisi, mara nyingine ni mpaka ipiganiwe.

Sidhani kama madaktari wanafurahia kugoma bali wamelazimika kufanya hivyo kutokana na wanasiasa wa nchi hii kukosa vipaumbele, huwezi kumpa daktari milioni tatu ila unaweza kumpa mbunge tena wa viti maalum milioni kumi, gari la mamilioni ya pesa na mengine mengi wewe unayajua.

Muwape madaktari support ili serikali ione wananchi hawapo pamoja nao na kwa namna hiyo watatafuta namna ya kushughulika ma na matatizo ya madaktari mapema, na hivyo kuhitimisha mgomo huo.
 
Title yako inamtaka Rais awatimue madaktari,ni sawa una haki ya kutoa maoni hata kama ni ya kipuuzi. Mkuu,nimegundua wewe ni mmoja wa wafuasi wakubwa wa Kikwete na unafurahia utendaji kazi wake, safari zake na urafiki wake kwa mafisadi. Sasa si uende pale magogoni ukamwambie au umeambiwa yupo JF.

Laiti kama ungekuwa na akili huru,ungetuambia akiwatimua awalete kina nani? Ungetueleza,kwa nini serikali haina hela za kuwalipa madaktari lakini inazo fedha za kukimbiza mwenge?

Nadhani ungetuelezea kwa kina tungekuelewa kuliko kuwa mwoga wa kutukanwa. Tatizo magamba hamna factual argument na mnafundishwa kuogopa majadiliano yenye hoja nzito.
 
Great Thinkers & Sinkers,

Mimi naomba kuuliza tu! Hivi nyinyi mnaoshabikia madaktari kugoma kwa maana nyingine mnaunga mkono watanzania kufa bila kupata huduma za afya. Hizi siasa za namna hii zitawapeleka wapi?

Hivi kweli hapa watu wanadiliki kujiita 'Great Thinkers' kwa majadiliano hoja na matusi yanayotolewa humu.

Mtu akiwashinda kwa hoja mnasema katumwa huyu, oh mdini huyo, or CCM huyo hoo huyo %^$8^%£CHADEMA%£$£, Tuaache siasa za kipumbavu na kujadili vitu vya msingi. Watanzania wanakufa period! Au mnataka mpaka yawapate ndugu zenu wa karibu ndipo mtaoona umuhimu wa mgomo wa madaktari?

Kwa kushabikia mgomo wa madaktari mnashangilia kufa kwa watanzania! I don't see the logic here.

Swali langu kwenu Je ikitokea kuwa madaktari wanaendelea kugoma, na kila mtanzania atakayepoteza ndugu yake kwa kukosa huduma wakaamua kuangalia mambo yao binafsi, wakitoka tu kuzika ndugu yao wanatafuta daktari na kulipiza kisasi, je watakuwa wamekosea? kwani madaktari wanaishi miongoni mwetu. Hii haitakuwa njia sahihi hata kidogo na mungu apishe mbali isije kufika hapo tutumie hekima tuokoe maisha ya wantanzani. kwani Hatuna nchi nyingine nchi yetu nii tu, na pakiisha haribika usijidanganye kwamba utaenda uhamishoni. uhamishoni au ukimbizini siyo nyumbani.

Rudini kazini.
 
nivea,

Madaktari wakilipwa 3.5M na allowance 10% ya mshahara ndio wagonjwa watapata magodoro na vitanda?

Hebu jiulize bilikuwaje wakasitisha ule mgomo wa kwanza kama kweli walikua wanatetea wagonjwa?
mkuu Maundumula
na je ikulu ikinywa chai ya billioni 15 watanenepa sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom