JK aapa..........

Kuwatoa kafara wala rushwa. Source - gazeti mwananchi.

Halafu yeye atajificha wapi?

Kama ni hivyo basi aanze na yule mshikaji wa suti za mwarabu, chumba cha wangeni pale Kilimanjaro na $1m kwa ajili ya kampeni ya chama chao!!
 
Rais Mwinyi aliwahi kupewa fagio la chuma la chuma ambalo lilitaka kumfagia mwenyewe
 
Labda ataanza na mwanae Rz1, yeye nasikia hula na kulisha watu rushwa ili apate mikataba minono.
 
safi sana mr presidaa hakuna kubebana tena imetosha sasa kila mtu na msalaba wake kila mtu na aibu yake nimefarijika sana kuona utekelezaji wako usiwaonee haya watose wote aftreall u have nothing to loose zaidi utaongeza upendo kutoka kwa watz woote big up saaaannnnnaaaaa
 
<br /> <br / hivi KUMTOA MTU KAFARA inamaana gani????
 
Hili ndio swali la msingi!
Kumtoa mtu kafara ni kumsingizia kesi, short and clear!
Maana yake atawaacha wanaoshughulika na rushwa, na atadili na wale wasafi!

Mimi binafsi nasema anachekesha tu, na hawezi kupewa ruhusa hiyo na WAKUBWA zake!
 
Kuwatoa kafara wala rushwa. Source - gazeti mwananchi.

Kusema ni rahisi kuliko kutenda. Huyo mkweree hawezi kitu kama angeweza saa hizi wale waauza madawa ya kulevya aliosema anawajua wangekwisha nyea ndoo kule Ukonga!! Lakini wapi bado wanadunda na yeye amebaki kucheka cheka tu.!!
 
Halafu yeye atajificha wapi?

Kama ni hivyo basi aanze na yule mshikaji wa suti za mwarabu, chumba cha wangeni pale Kilimanjaro na $1m kwa ajili ya kampeni ya chama chao!!

wameisha zoea kudanganya hao hapo hakuna kitu..
 
safi sana mr presidaa hakuna kubebana tena imetosha sasa kila mtu na msalaba wake kila mtu na aibu yake nimefarijika sana kuona utekelezaji wako usiwaonee haya watose wote aftreall u have nothing to loose zaidi utaongeza upendo kutoka kwa watz woote big up saaaannnnnaaaaa

kwa hili mkuu utasikia limeishia hewani kama kuna mtu mmoja kapata kusema haya unafikiria nini kita mkuta huyu mkuu wa kaya angalia hii nukuu
Kilichoniuma sana si kununuliwa suti 5 tu, bali amenunuliwa na mwanaume mwenzie tena MWARABU!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom