Jk aanza kumuandaa mrithi wake wa kiti cha urais ccm

Kikwete ni bandikiza kubwa la udini ila dawa yake ipo jikoni we mwache afadhiri makongamano yanayofanyika nchi nzima ya kumfichia maovu yake chini ya kimvuli cha BAKWATA ambaye ni adui wa waislama kwa mana kilianzishwa kwa ajili ya kutupumbaza waislam
 
Ali kiberengo kafie mbali na udini wako Tanzania sio nchi ya udini je? na sisi tusio na dini tutaongozwa na nani.
 
Naomba tu kuuliza swali na mnisamehe kwa kuwa sijagusa mada ila nimechukua kipande . Je Tanzania kuna udini au hakuna ? Majibu yenu yatanifanya niendelee au niache
 
atatawala kwa miezi kabla nchi haijaingia kwenye machafuko huyu ni mpenda shari tena ni dikteta!
Ni mtazamo nilionao mimi pia lakini JK anamuamini sana huyu jamaa kuliko wengi wanavyo fikiri , baada ya kupewa wizara mpya amepewa jukumu la kuandaa mpango wa maendeleo wa miaka mitano na kama ukiangalia hii movie unaona ni mpango mahususi wa kutimiza ndoto za jk za ahadi alizozitoa.
 
these are just thoeries....none of them will rise to the helm....afteral utendaji mbovu wa JK ,utamfanya 2015 asiwe na nguvu kubwa ya kuinfluence rais ajaye.....only if he can work hard ...na kuweza kuleta maendeleo ya haraka than atakuwa na nguvu ya kuwashawishi wajumbe wachague wa kuendeleza mema yake ....kama yatakuwa convinving....
 
jk kamuandaa tambwe hiza

JK anajiandaa yeye mwenyewe. Ndio maana anachokonoa udini, ili watu waanze kuzitwanga na hali iwe tete ili apate kigezo cha kuendelea kutawala kwa kisigizio cha kukosekana amani. Kama uchaguzi 2015 utafanyika sijui, the guy is so unpredicatble, right now hajulikani anafanya nini, personally sijui anafanya kazi gani
 
Mh Wasira jaman mie sura 2....
dah..hata silaa kajaliwa sura mbaya jamani..mh,majuzi hapa mdogo wangu alimuona katika tv yaani usiku kaota maruweruwe hadi leo akitokea ktk tv inabidi tuzime.Hahaa kuhusu urahisi tunabadili katiba rais atawale vipindi vinne vinne
 
Nadhani wengi wetu hatujui hila alizo nazo huyu J.K. Hata kama hatutaki udini lakini huyu jamaa ndiye pandikizi la udini hapa nchini. Ila kwa taarifa yenu, ameapa kuwa kwa kuwa Nyerere alitawala miaka isiyopungua 20 na mkapa 10, na yeye atahakikisha waislamu wana tawala miaka isiyopungua 30, mwinyi 10, yeye 10 na atakeyekuja 10 ndipo waanze kufikiria waendelee au vipi. Taznania hatuhitaji udini, undugu tuliokuwa nao umetusidia sana. Mimi mwenyewe nikiwa mtu wa karibu sana wakuu wa nchi hii serikalini najua ninachosema ninini. Me pia ni musilamu lakini kitu hiki sikipendi kwani nataka kiongozi wa maslahi ya wananchi na sio dini. Dini tuwaachie mashehe na wachungaji basi.[/QU
nasikia nigeria wana utaratibu huo
 
Naomba tu kuuliza swali na mnisamehe kwa kuwa sijagusa mada ila nimechukua kipande . Je Tanzania kuna udini au hakuna ? Majibu yenu yatanifanya niendelee au niache
hamna udini ila JK anataka kutuletea udini tuwe kama NIGERIA
 
Ndugu yangu Sanga mbona huna updates?It is true JK anawaandaa hawa wawili kisa hayuko tayari kuiacha nchi kwa mkristu

Labda amuandae Tyson ili tufanane na kenya kwa sura za maraisi wetu. Ila mi nakupa taarifa za kweli usije ukashangaa, hukuna anayeandaliwa zaidi ya Lowasa, dig deeper. Soma alama za nyakati. Hata mwalimu alishindwa kumuingiza salim (History). CC na NEC na Mkutano Mkuu wa CCM wako kwa Lowasa. Ila sijui kama watanganyika watankubali, wazanzibari walishamkubali.
 
saafi sana! mzee silaha asome alama za nyakati mapema agombee ubunge kama mrema.la sivyo atapoteza maji ya moto na unga.mshaurini jamani..................
Umeshindwa kuzisoma Alama za nyakati au unatoa vichekesho?
 
Hao uliowataja kakutana nao barabarani.........yupo ambaye hajakutana naye barabarani
 
Kwanza usihangaike na hao wafa maji. Ccm hata wangetafuta malaika hakuna rais hapo. Labda waimarishe uchakachuaji vinginevyo haitawezeana.cdm imewaachia zamu hii. Unique
 
Back
Top Bottom