Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 697
Yuo are just wasting your time, Lowasa kajaa tele, let us dicuss other things
Tumesikia JK kaahidi hawezi kukabidhi nchi kwa Mkristu na hasa mkatoliki.Kaazi kweli kweli
Kuna tetesi kuwa J.K ameweka watu wawili ambao kati ya hao, mmoja wao aje kuwa mrithi wake. Watu inasemekana kuwa ni Dr. Asha Rose Migiro na Dr Hussein Mwinyi. Wana JF mmeisikia hiyo??
Hivi lini Tanzania ikawa Lebanon?Hata Julias Nyerere Mkatoliki alie topea, aliiongoza Nchi hii kwa miaka 24 peke yake huku akiwa kasahau kabisa kuwa UHURU ulipiganiwa na Waislamu jee ni kosa Kwa Muislamu Kuongoza tena Baada ya JK Kumaliza Muda wake.
Kamuweka ikulu apazoee na ujumbe wa kamati kuu haraka haraka..ila watauana hao haiwezi kuwa rahisi hivyo.Angalieni sana mwenendo wa STEPHEN MASATU WASSIRA uteuzi wa jk na majukumu aliyopewa
hahaaa, aka act horror movies huyo...atapata tuzoMh Wasira jaman mie sura 2....
Hapa mchangia nini wakuu yani mtu akiibuka na jambo lolote la kujitungia mnaifanya topic! huu ni uongo wa pasi na shaka lasivyo alete ushahidi!
Angalieni sana mwenendo wa STEPHEN MASATU WASSIRA uteuzi wa jk na majukumu aliyopewa
Kwi,kwi,kwiiiiii! Umeniua mwanawane.Mh Wasira jaman mie sura 2....