JK aalika wadau kuwasilisha majina ya watu watakaokuwemo kwenye mchakato wa katiba

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Ni watu watakaokuwemo kwenye tume ya kuratibu na kukusanya maoni kuhusu katiba mpya.ni watu 15 kutona bara na 15 kutoka viviwani.mwisho ni march 16,2012 baada ya hapo rais atakaa na rais wa zanzibar kuteua majian ya hao watu na mwenyekiti atakaye simamia huo mchakato...
source:hapa
 
Rubbish!!!! Huwezi ukawa na equal representation kati ya watu milioni 44 na watu milioni moja. Ndiyo haya matatizo ya muungano ambayo hawataki kuyaweka wazi yakapata ufumbuzi wa kweli. Even common sense / natural justice (if you like) dictates proportional representation
 
Hapo ndiyo wanapokosea, anyway labda kuna siri nzito nyuma ambayo inajulikana kwenye maslahi ya nchi ya kuwapa Zanzibar uwakilishi sawa na Tanganyika. Ngoja tuendelee kuona wanapotupeleka hawa wazee wetu!!
 
Back
Top Bottom