Jiwe la kunolea.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Wana ndugu,
kwa muda mrefu nimekuwa nikiitembelea hii forum kama mgeni.
jiwe la kunole nimekuja ,
wenye nyembe butu, misumeno butu, mapanga butu, visu butu, mikasi butu na kila kitu butu,
nimekuja kutia makali.
Asanteni kwa kunikaribisha.
 
Karibu ndani ya JF, Jisikie upo nyumbani.
 
jiwe gani hilo jamani?utanoa watu au?
haya jamani mnaohitaji kunolewa mie nilishanoa zamani sihitaji kunolewa upwa....
 
Wana ndugu,
kwa muda mrefu nimekuwa nikiitembelea hii forum kama mgeni.
jiwe la kunole nimekuja ,
wenye nyembe butu, misumeno butu, mapanga butu, visu butu, mikasi butu na kila kitu butu,
nimekuja kutia makali.
Asanteni kwa kunikaribisha.

Karibu sana,jitahidi kunyoa vinavyonyoleka.
 
Back
Top Bottom