Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

August mbali sana,karibu tuanze leo,hiyo august itakuwa ni kilele .....
Asante sana PATIENCE 123-unajua nilikuwa najiuliza kwanini hizo bites hapo avatar ziko nane,kumbe zinaashiria mwezi wa nane,nakosa patience naanza kuidokoa moja hiyo ya kati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom